- Thread starter
- #21
Kwa hivyo uengereza kaamua tu kuitoa nchi?Acha kupotosha Tanganyika ilikuwa Trusteeship chini ya muingereza. Ni wapi tulipiginania uhuru?. Uhuru ulipiganiwa Kenya.
Kwa hivyo uengereza kaamua tu kuitoa nchi?Acha kupotosha Tanganyika ilikuwa Trusteeship chini ya muingereza. Ni wapi tulipiginania uhuru?. Uhuru ulipiganiwa Kenya.
View: https://youtu.be/4pvbCGFiXHY?is=qm-X1-Wkiaaf5GNH
Aishauri katika afisi za ccm waweke picha za waanzilishi wa TANU na TAA.ambao ndio wapigania uhuru wa Tanganyika
Amesema haiwezekani ktk afisi ya ccm hasa lumumba inakosekana picha ya mwanachama namba 2, 3, 4,5.
Weye mkewe nyerere? Au mtoto wa 2002?Huyu Mohamed Said ni Islamic jihadist kwa 100%. Hao wazee wake anaowatetea walikuwa wameanzisha hiyo TAA ila walikuwa wanacheza bao na dhumna tu. Nyerere ndiyo aliwasanua kugombea uhuru na akaongoza harakati za uhuru.
Isitoshe hao akina Sykes family aliwapa fursa nyingi sana katika serikali. Mfano Abbas Sykes aliwahi kuwa Mkuu wa mkoa mwaka 1962 halafu baadaye kabla ya kustaafu akawa balozi huko Canada
Kuna Ally Kleist Sykes alikuwa Katibu wa vyama vya wafanyakazi
Kuna Kleist Sykes alikuwa Meya wa Dar es Slaam.
Kuna wale mujaheedina wa oct29Inaelewa maana ya mujaheedena acha kukufuru uislamu.
View: https://youtu.be/4pvbCGFiXHY?is=qm-X1-Wkiaaf5GNH
Aishauri katika afisi za ccm waweke picha za waanzilishi wa TANU na TAA.ambao ndio wapigania uhuru wa Tanganyika
Amesema haiwezekani ktk afisi ya ccm hasa lumumba inakosekana picha ya mwanachama namba 2, 3, 4,5.
Niko aged 66 years old. Leta uwongo wakoWeye mkewe nyerere? Au mtoto wa 2002?
Amedanganya?Weye mkewe nyerere? Au mtoto wa 2002?
Wonders shall never end. Yani wanajiita miarabu na pua zao zilivyo pana kama rungu ya masai.Huyu mzee mdini anadhani uhuru wa Tanganyika umepatikana na watu wa dini yake, mjinga sana, sijui ni Mmanyema? Wamanyema wao hujinasibu kwa kujiita wao ni Waarabu.
Mbele kwa mbele