Mohamed Said: Amekishauri chama cha Mapinduzi CCM

Mohamed Said: Amekishauri chama cha Mapinduzi CCM

Huyu mzee mdini anadhani uhuru wa Tanganyika umepatikana na watu wa dini yake, mjinga sana, sijui ni Mmanyema? Wamanyema wao hujinasibu kwa kujiita wao ni Waarabu.
Jibu hoja, usilete chuki za udini. Watu wengi sana wamejifunza kupitia yeye.
 
Huyu mzee mdini anadhani uhuru wa Tanganyika umepatikana na watu wa dini yake, mjinga sana, sijui ni Mmanyema? Wamanyema wao hujinasibu kwa kujiita wao ni Waarabu.
Ni Mmanyema. Anadanganya watu eti wamanyema ndio waliopigania uhuru wa Tanganyika. Anadai wamanyema ndio wamiliki wa Tanzania.
 
Jibu hoja, usilete chuki za udini. Watu wengi sana wamejifunza kupitia yeye.
Hakuna hoja ya kujibu. Kinara wa Uhuru ni Nyerere hakuna la ziaida. Mbona nyie Kila siku mnatupigia kelele za Samiah kama vile ni mungu?. Kwani hakuna wengine?
 
Mzee side youpo sahihi
Wahafidhina wa kigalaticos walikuwa mashabiki wa mishionari wasingeweza kupigania wamisheni waondoke
Acha kupotosha Tanganyika ilikuwa Trusteeship chini ya muingereza. Ni wapi tulipiginania uhuru?. Uhuru ulipiganiwa Kenya.
 
Ni Mmanyema. Anadanganya watu eti wamanyema ndio waliopigania uhuru wa Tanganyika. Anadai wamanyema ndio wamiliki wa Tanzania.
Unapotosha. Anachosema history ya tanganyika inamtaja mwalim nyerere tu kwa kila kitu, kumbe kuna wengine wengi walijitolea muhanga kuiipaigania Tanganyika
 
Back
Top Bottom