Mohamed Hussein na Abdullazak ni Vimeo simba

Mohamed Hussein na Abdullazak ni Vimeo simba

Hamna cha kuchoka wala nini...kwanza mkumbuke mmecheza na bingwa wa Morocco, pili ubora wa Berkane game ya jana ulikuwa juu. Majamaa yanakaba sio kitoto.

Zile dk4-5 kipindi cha kwanza mashabiki wa Simba wakaanza kujazana upepo ooohh tunawamudu mara wepesi kumbe lilikuwa swala la muda kuamua, hatimae yametokea tuliyo yashuhudia
Basi sawaa
 
Kilichotugharimu jana ilikuwa ni backpass... Ukiangalia magoli yote mawili yalianzia kwa wachezaji kupoteza mpira kutokana na back pass... Na hata hatari nyingi za Berkane zilitokana na wachezaji wetu kupoteza mipira kwenye mazingira hatari due to back pass.

Simba waepuke Sana pasi za nyuma, wajifunze kupiga mipira mirefu mbele kuliko kumlazimisha kucheza vi pass kwenye presha
Kwahiyo wapige mipira mirefu mbele kumnufaisha adui ili aje kukushambulia?
 
Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.
Kacheze wewe. Wewe ndiye uliyeifikisha timu fainali sio? Hopeless argument ever.
 
Mashabiki wa Simba mna tatizo la kulaumu bila sababu za msingi.... Hivi kwa mtu anayejua mpira unaqezaje kumlaum Zimbwe?, jana timu yote impararaizi hakuna mchezaji aliyekuwa bora... Mtu pekee aliyejitataidi nakuonesha ubora ni Kibu D.
Wachezaji wa simba wengi wana uwezo wa kawaida sana ambao usaidia timu nyakati ngumu hawawezi. Kingine cha mhimu timu imezoea kubebwa sana ko hawawezi kujitoa lwa damu na jasho, kuna wachezaji 3 tu simba ndio hutoa nguvu zao kapombe,Zimbwe na kibu.
Hao ni akina mchome sio mashabiki wa Simba.Hizi huwa ni propaganda za kichawi za wana nyuma mwiko.
Mnavyo respond inaonesha wazi jinsi mlivyo wataalam wa kupika propaganda.
Hapo umejuaje kuwa anayesema ni shabiki wa simba na awakilisha mawazo ya wanasimba?
 
Wewe ni mangungu una kadi za wanachama wote?. Punguza mihemko mshindo bas
 
Haya ni maoni nikiwa Kama shabiki na mdau wa Simba Beki za Simba 🦁 muda mwingi ZINACHEZA KAMA WANAMWAYA WAKISABATO😊

LA KURUDISHA MPIRA NYUMA NI HATARE SANA BORA KUCHEZA BILA MFUMO NA MKACHEZA BUTUA BUTUA.

ZAMANI SIFA YA BEKI NI KUKWAMISHA MASHAMBULIZI KWA KUBUTUA MPIRA MBELE AT LEAST KULIKO KUPEANA PASI ZA NYUMA NYUMA.

PIA WOTE WANGECHEZA KAMA KAPOMBE ALIKUA NA JIHAD NA NIDHAMU KUJITOLEA

PIA KWENYE KONA BEKI ZA SIMBA ZINAKABA KAMA WANAMWAYA WAKISABATO 😊 YAANI KONA NI UNDAVA UNDAVA IKIWEZEKANA MNASUKUMANA KIDOGO NA KUBLOCK MTU..SIMBA WANAKABA KWA MACHO
mwanamwaya ndio nini mkuu rekebisha hapo alafu tuendelee
 
Hii makala imeandikwa na mtu Mjinga na imeungwa mkono na watu wajinga.

Moja.huwezi kumkashifu mtu kwa lugha kama hizo,kama wewe ungekua Bora kuliko yeye ungekua Leo unachezea Simba.

Mbili.mtu ambae Huna taaluma ya ukocha unapata wapi ujasiri wa kuwapinga makocha wa Simba na wa taifa stars wanaomkubali Hamza na Shabalala.

Tatu. Una Nini wewe ulicholifanyiabtaifa hili kuwazidi Hamza na Shabalala?

Nne. Wewe una wivu,chuki na roho mbaya ya kishetani.
Huwezi kuwasema watu matapeli wakati wewe hata kwenye familia Yako TU huna mchango wowote achilia mtaani kwenu TU

Tano.kwa kifupi wewe mtoa mada ni Mjinga Fulani TU hapa duniani.
 
Na waishukuru sana kamati yao ya UBAYA UBWELA kufika mpaka kwa marefa wa VAR.
Lile goli la tatu sijui hata limekataliwa kwa offside gani plus penalti mbili ambazo refa alikataa kwenda kujiridhisha kwenye VAR na Ile foul iliyotokea karibu na box upande wa kuli wa goli.
haya ndio madhara ya kuangalia mpira seblini hupati challenges
 
Hii makala imeandikwa na mtu Mjinga na imeungwa mkono na watu wajinga.

Moja.huwezi kumkashifu mtu kwa lugha kama hizo,kama wewe ungekua Bora kuliko yeye ungekua Leo unachezea Simba.

Mbili.mtu ambae Huna taaluma ya ukocha unapata wapi ujasiri wa kuwapinga makocha wa Simba na wa taifa stars wanaomkubali Hamza na Shabalala.

Tatu. Una Nini wewe ulicholifanyiabtaifa hili kuwazidi Hamza na Shabalala?

Nne. Wewe una wivu,chuki na roho mbaya ya kishetani.
Huwezi kuwasema watu matapeli wakati wewe hata kwenye familia Yako TU huna mchango wowote achilia mtaani kwenu TU

Tano.kwa kifupi wewe mtoa mada ni Mjinga Fulani TU hapa duniani.
Asante sana kwa kuniona mjinga. Ubaribikiwe
 
Kwa kutokumuweka Mpanzu hapo hujamaliza kusema. Jana kafanya effort kubwa peke yake timu ikiwa imeshaparalyze. Kuna wakati, kwa kukata tamaa, akabaki kutafuna jojo tu.
Mpanzu huyu huyu au mwingine? Jana Kocha Fadlu kaonekana mara nyingi kwenye TV kuliko alivyoonekana Kibisawala akiwa na mpira.
 
Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.
Hapana,zimbwe alizidiwa tu,hamza ni mgonjwa na upuuzi wa simba ni kumchezesha kwa kumpiga sindano za ganzi na hatimayake akaumia zaidi
 
Back
Top Bottom