Mohamed Hussein na Abdullazak ni Vimeo simba

Mohamed Hussein na Abdullazak ni Vimeo simba

Kila siku huwa tunagharamiwa na back pass, na vile defence yetu sio ngumu kivilee ktk match za temptation,
Jana mabao yote yametokana na back pass, ambazo nazo hazikua sahihi, ndo tukapoteza hivyo.

Wachezaji wanaonekana wamechoka mno, sijui kisa match mfululizo za viporo, Daah
Inauma Sana Sana kwanini tumedhalilika ivyoo kwanini? Yaan sikuona kukamia mechi kukaba man to man.

Hawa waarabu wakicheza na MBAGALA MARKET...MTU AKIPATA MPIRA ANABUTUA MBELE..KABA KWA KUTUMIA MBINU YA KUTIBUA SIO KUKABIA MACHO NA KUCHEZA BILA AKILI.

NDIO MAANA NIMESEMA BEKI ZA SIMBA ZINAKABA KAMA WANAMWAYA WAKISABATO 😊
 
Upo sahihi, lakini Kuna sehemu wachezaji wa Simba wanalazimisha tu... Angalia goli la pili, pasi aliyopiga Musa Camara kwenda kwa Yusufu Kagoma ilikuwa na ulazima gani wakati anaona Kuna pressing ilikuwa imefanyika kila mchezaji wa Simba aliye karibu yake alikuwa marked. Alishindwa Nini kupiga mbele kule ili timu ijipange upya?

Haya Rudi kwenye Kona iliyozaa bao la kwanza? Walipiga pasi za nyuma upande wa kushoto kule, mchezaji wa Berkane akapata mpira akawakimbiza wakautoa ikawa Kona. Mfungaji wa Kona alikuwa hajakabwa kabisa karuka kapiga free header. Makosa Kama hayo siyo ya kufanya kwenye fainali.

Anyways, mpira mchezo wa makosa, naamini hata wao wakija Dar es salaam au Zanzibar wanaweza kufungwa mbili, halafu twende matuta. Maana hii Simba sidhani Kama inaweza kufunga bao tatu.
Usifikiri watu wanapiga pasi za nyuma kwa kupenda.

Hapana uwezo mdogo wa ku hold mipira kwa wachezaji wa Simba dhidi ya pressing ya wachezaji wa Berkane ndio sababu.

Mana ukiwa na mpira ukitaka kupasia mbele unakuta wachezaji wenzio wote walio karibu wako marked kiasi hata ukimpasia unaona hatoweza kuumiliki.

Hii ndio sababu ya back passes na mara nynigi hutokea mnapokuwa na wachezaji wa quality dogo dhidi ya timu inayokaba kwa nguvu na yenye wachezaji wenye quality kubwa kuliko wewe.
 
Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.
Hussei alicheza vizuri

Msidhani ule upande ni rahisi sana

Stellenbosch walipigwa tano huku Goli tatu zikitokea ule upande
 
Nimeongea mimi sijasema makocha wewe kocha niambia nini anachangia kwenye team, assist? zero, goal? msimu mzima mawili moja. kukimbia tu manguvu kuji position tu hajui ndio maana alivyoenda huko kufanya majaribio tena sijui Norway akaambiwa huwezi. Mpira ni akili sio maguvu.
Jifunze basi kutumia punctuation marks.
 
Kilichotugharimu jana ilikuwa ni backpass... Ukiangalia magoli yote mawili yalianzia kwa wachezaji kupoteza mpira kutokana na back pass... Na hata hatari nyingi za Berkane zilitokana na wachezaji wetu kupoteza mipira kwenye mazingira hatari due to back pass.

Simba waepuke Sana pasi za nyuma, wajifunze kupiga mipira mirefu mbele kuliko kumlazimisha kucheza vi pass kwenye presha
Mabeki wa kucheza mipira mirefu wapo sasa? Unajua kuna tofauti ya kucheza mipira mirefu na kubutua mbele?

Kuwapata ma ball playing defenders sio mchezo
 
Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.
Ukuangakia mpira goli la pili baada ya kipa kupiga ule mpira wa Kasi kagoma wakati anataka kuumiliki akafanyiwa press na mchezaji wa berkane akanyang'anywa ikaletwa oasi kwenye box la Simba jamaa wakafunga
 
Mpira kabla ya kufika kwa kipa ulirudishwa nyuma na Hussein bila sababu ya msingi na ulikuwa na kasi kipa akawa ameuhold kwa kuupiga with no care maana asingeza kuishika,
 
Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.
Hii ndio Tz bhana. Mnajua kuchambua sana hasa timu ikikosa ushindi, kwa kifupi mnamaliza kila kitu. Anyway, mchezaji anaflop au kiwango kinabaki ktk ubora. Ni kawaida. Leo mnashangaa Hamza kupotea. Unadhani atakuwa 100% kila siku??!
 
Hamza aliicost team kule Algeria kwa Constantine tena goli zote mbili na Jana kafanya upuuzi uleile.
 
Mpira kabla ya kufika kwa kipa ulirudishwa nyuma na Hussein bila sababu ya msingi na ulikuwa na kasi kipa akawa ameuhold kwa kuupiga with no care maana asingeza kuishika,
Sahihi lakini hata wachambuzi wengi wameliingekea kwa kuona Ile hatari ya Hussein ilishaondolewa na kipa. Na nafikili labda kagoma akudhani kuwa Kuna mpinzani karibu yake anakuja.
 
Kila siku huwa tunagharamiwa na back pass, na vile defence yetu sio ngumu kivilee ktk match za temptation,
Jana mabao yote yametokana na back pass, ambazo nazo hazikua sahihi, ndo tukapoteza hivyo.

Wachezaji wanaonekana wamechoka mno, sijui kisa match mfululizo za viporo, Daah
Game ngumu hatua hii. Huwezi pata ladha halisi ya Simba SC, ukichambua utaona makosa mengi sana. Ndio maana Leo wachezaji kadhaa wameongelewa kwa ku-perform kinyume na uwezo wao.
 
Hamza aliicost team kule Algeria kwa Constantine tena goli zote mbili na Jana kafanya upuuzi uleile.
Lakini haimalizi uwezo wake. Mistakes ni kawaida. Che Fondoh Malone naye aliwahi fanya hivyo. Lkn Jana alipoingia alimalizia vzr. Kumhukumu mchezaji 100% si sahihi, unaweza ona makosa kwa wachezaji wote tangu michuano ianze.
 
Inauma Sana Sana kwanini tumedhalilika ivyoo kwanini? Yaan sikuona kukamia mechi kukaba man to man.

Hawa waarabu wakicheza na MBAGALA MARKET...MTU AKIPATA MPIRA ANABUTUA MBELE..KABA KWA KUTUMIA MBINU YA KUTIBUA SIO KUKABIA MACHO NA KUCHEZA BILA AKILI.

NDIO MAANA NIMESEMA BEKI ZA SIMBA ZINAKABA KAMA WANAMWAYA WAKISABATO 😊
😂😂😂😂😂 khaaah
 
Back
Top Bottom