mods wakianika PM zetu......

ok basi naomba niwe nakutibia nyumbani kwako ila wape taarifa kabisaa wakezo!

asante Lady doctor wewe ndo daktari uliyefuzu, wake zangu hawana tatizo manake mficha maradhi kifo humuumbua, hivyo haina jinsi we njoo tu unitibie. Tunaanza lini tiba?
 
Last edited by a moderator:
asante Lady doctor wewe ndo daktari uliyefuzu, wake zangu hawana tatizo manake mficha maradhi kifo humuumbua, hivyo haina jinsi we njoo tu unitibie. Tunaanza lini tiba?

huwa naanza kutibu pale mgonjwa anapoonekana kuzidiwa na ugonjwa, so ukiwa hoi bin taabani we nijulishe!
 
Last edited by a moderator:
Haliwezi kushuka kwa maji baridi hadi lipate dawa nayo hadi uje unipime uzuuuri

kwasababu nipo mbali halafu na muda umeenda ngoja niwaelekeze wakezo jinsi ya kukutibu.................. Sawa!?
 
Hahahahahaha
Naomba tu ubadili avatar b'se hako kawowowo kanamzingua

hahahahahahaaa!!!! Ushauri mzuri sana ngoja nitaweka aveta nikiwa nimegeuza mgongo kabisaaaa naona ilo pozi la ubavuubavu linawapa shida.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…