Nina usongo nawe ujue.
hata mimi nina usongo na wewe, sasa inakuwaje!?
Wewe..!? unataka kufanya nini!? umeanza uliberali!??? kwanza lini umetoka jela!? au ndo umejieunza tabia hizo huko...!
Tutafutane then tupimane ubavu.
Tutafutane then tupimane ubavu.
jiangalie wewee, usipende kupimana ubavu na watu heavy kama mimi utaumia ujue!!!!!!!!
Watch out Lady doctor.jiangalie wewee, usipende kupimana ubavu na watu heavy kama mimi utaumia ujue!!!!!!!!
Uzuri wake ni kwamba mie ni mbabe CC nzima.
Atafutae hachoki Lady doctor,hahahahahahaaa, endelea kulia kilio cha samaki!!!!!!
naomba nikukague wewe.
Huwezi kunikagua wakati wewe hujakaguliwa! Mbona mkorofi wewe!!!!?
hebu fanya juu chini umnyakue huyo bibie... Atupunguzie nyodo kwa saatisa