Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
The secretary naona Chocs analeta kimdomodomo, hebu fanya mambo yako yaleeeeee...... bi dada atulie, ajui kama nikiamua ninaweza?
Ukiwezeshwa utaweza Chocs!!
Last edited by a moderator:
The secretary naona Chocs analeta kimdomodomo, hebu fanya mambo yako yaleeeeee...... bi dada atulie, ajui kama nikiamua ninaweza?
Ukiwezeshwa utaweza Chocs!!
Marahaba mimi sio muhongaji ila wazee wengi ndio wahongaji kuliko vijana wengi ni matapeli bibie Lady doctorshkamoo mzee....... Samahani eti kwani wewe unaonga?
Khaaa! wee homuboy, unajua Lady doctor ni daktari wa moyo wangu? Sipendi kutibiwa India ujue...
Marahaba mimi sio mhongaji ila wazee wengi ndio wahongaji kulko vijana wengi ni matapeli bibie Lady doctor
Khaaa! wee homuboy, unajua Lady doctor ni daktari wa moyo wangu? Sipendi kutibiwa India ujue...
Marahaba mimi sio muhongaji ila wazee wengi ndio wahongaji kuliko vijana wengi ni matapeli bibie Lady doctor
Mamndenyi umemjaribu MziziMkavu?:shock:
The secretary naona Chocs analeta kimdomodomo, hebu fanya mambo yako yaleeeeee...... bi dada atulie, ajui kama nikiamua ninaweza?
There are currently 2 users browsing this thread. (2 members and 0 guests)
Hivi kwanini wewe Lady doctor unaendelea kuwa mbishi hata tukiwa wawili!!?
Copy: Asprin, Baba V
naomba nikukague wewe.
kabla ya kujaribu akapata mwingine
na safari ikaishia hapo, eti MziziMkavu?
Njoo unikague mwenyekiti hapa
hahahahahahaaa!!!!!! Njoo tu nikukague mwenyekiti haya ni mapinduzi mapya.
Nina usongo nawe ujue.