tabia mbovu kwangu au kwa Erickb52? Maana yeye ndio hunikodolea macho, mimi wala sina mpango naye jamani
aje tu na hayo maguvu yake, dawa yake ni promotion za The secretary atageuza mwenyewe kama sokwe mwenye njaa!
kitu wowowo
Kumbe unataka....yangu machoThe secretary naona Chocs analeta kimdomodomo, hebu fanya mambo yako yaleeeeee...... bi dada atulie, ajui kama nikiamua ninaweza?
Hiyo lensi mbinuko Lady doctor ndo inayomchanganya huyo mgoni Erickb52.. Habandui macho lol..
kwasababu nipo mbali halafu na muda umeenda ngoja niwaelekeze wakezo jinsi ya kukutibu.................. Sawa!?
si sawa wao sio madokta
we hujui wenye ID wanajulikana?
Bibie The secretary bibie.@Madame B ninampenda lakini ana wapenzi wengi humu jamvini ananitia wasiwasi mkubwa.
wanawake wanafuata wazee kw sababu ya pesa si unajuwa mzee kwa kuhonga hodari sana ladyfurahiasasa ulifikiri akufuate wewe mzee wakati vijana wenzie anao na wanamgombania kama karanga?
wanawake wanafuata wazee kw sababu ya pesa si unajuwa mzee kwa kuhonga hodari sana ladyfurahia
hebu kuja huku kwa hospital bt njoo na wife wako...! Ila mwambie tu wasindikizaji haruhusiwi kuingia thieta!
keine problem Lady doctor chezeya matibabu ya theater?
wanawake wanafuata wazee kw sababu ya pesa si unajuwa mzee kwa kuhonga hodari sana ladyfurahia
Siwezi kukufanyia hvo my Huz.
heeee
acha uongo
wewe mbona hauhongi
kitu wowowo