Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,063
Tufungulieni jukwaa la astrology,ukiamka tu asubuhi unasoma nyota yako jamvini,huna haja ya kusoma magazetini.
Mfano leo kwenye gazeti mashuhuri la jf udaku nyota yangu inasema:
Haja ya moyo wako itatimizwa leo,panda ndege nenda arusha,chocolate za ferevero in hand,mbaya wako jana kaachwa.
Ya The Finest inasema: surprise! afrodenzi atakutumia maua na kadi ya birthday.
Ya Kongosho: umezidi uzanga,mmeo atakufumania leo,atakumwagia pilipili kwenye niniliyu
Ya Lizzy: saa ya kuachika na kupata mwanaume wa ukweli ni sasa,changamkia tenda ya bilionea la kihaya.

Last edited by a moderator: