mods tafadhalini.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mods tafadhalini....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bishanga, May 4, 2012.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Tufungulieni jukwaa la astrology,ukiamka tu asubuhi unasoma nyota yako jamvini,huna haja ya kusoma magazetini.
  Mfano leo kwenye gazeti mashuhuri la jf udaku nyota yangu inasema:
  Haja ya moyo wako itatimizwa leo,panda ndege nenda arusha,chocolate za ferevero in hand,mbaya wako jana kaachwa.
  Ya The Finest inasema: surprise! afrodenzi atakutumia maua na kadi ya birthday.
  Ya Kongosho: umezidi uzanga,mmeo atakufumania leo,atakumwagia pilipili kwenye niniliyu
  Ya Lizzy: saa ya kuachika na kupata mwanaume wa ukweli ni sasa,changamkia tenda ya bilionea la kihaya.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  kweli hii kitu ni muhimu maana yangu inasema leo ndio siku ya kumtokea yule umpendae maana hatokataa, hii ni kwa mujibu wa gazeti la "the sun" uk!, chini ya msaada wa google translator.
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Heri yako mkuu.
  Mimi ya kwangu baada ya kugusa maslahi ya Cantalisia inasoma kuwa utakoma kufukunyua Ndoa za watu, mpaka utafunga hiki kigazeti chako urudi kwenu kijijini...
  Nahitaji maombezi kwa kweli..
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  We fukunyua tu,ndoa nyingine bila kufukunyiliwa hazisimami sawasawa.
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  mi hata yangu sijui
   
 6. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Bishanga kesho itasoma hizo ndizi zitaota mapembe usipompata Lizzy
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  gud idea kiongozi
   
 8. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  si mchezo
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahah lol Bishanga ..
  umeniacha hoi kwa kweli ..

  Naunga mkono hoja..:majani7:
   
 10. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Hahahaa jamani hii kali loh!sasa nani atakua mtabiri??
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0

  afrodenzi mwambie The Finest a move zis way,mwambie KUWADI wako bishanga anakuita fasta.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0

  Purple hivi hujui Asprin ndo kanyaka mikoba ya sh yahya?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0

  Purple hivi hujui Asprin ndo kanyaka mikoba ya sh yahya?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mi ndo bishanga bana,nina mihela kuliko nbc,we subiri utaona muziki wangu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Kwani besdei yako tarehe ngapi? Itakuwa vizuri zaidi ukijua na muda uliozaliwa.
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Bishanga sasa afrodenzi nataka akapumzike kwahiyo usimsumbue tena
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  me hapa huwa nachoka pale nikutapo nyota yangu imeandikwa "cku ya leo unatakiwa kuvaa nguo za hudhurungi pia pendelea kutembelea mashariki zaidi" yan nachanganyikiwa zaidi make cjui hudhurungi ni rangi gani?
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Hivi Bishanga una mimba changa?
  Nakuja kukuzalisha.

  Bwana ngu afumaniwe inakuhu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....kuna jina mwalitajataja hapa....
  Kijiba cha roho mwenzenu.
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  Bishanga unapoelekea siko.....marehemu shekhe yahaya alianza hivyo hivyo......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...