Ila avatar ya Invisible inaogopesha jameni!
meona eeeeh kuna siku alinipa like nusu niote lol
Wifi zangu mna mambo ninyi....
Mzima my wii
Hahahahahaaa.....asante kunitengenezea asubuhi yangu lol
msalimie ntuzu
Ndio nani huyo?
Ndio nani huyo?
si shareholder wa moyo wako kampuni imekufa
Nadhani usingizi unanisumbua maana sioni vizuri sijui umeandika nini hapa?
Hahahaaa...amenunua hisa ngapi?
aliniambiaga ana hisa asilimia 99.9 lol
Alikudanganya .....labda kinyume chake
meona eeeeh kuna siku alinipa like nusu niote lol