Hii bar ni spesheli kwa jinsia ya Me pekeee?
Nafikiri baada ya mvinyo kupanda hata hapo itakuwa bado ni mbali wangetafuta mbinu ya kuunganisha direct toka kwenye kikojoleo.
Hapo ni mwendo wa gambe kwa kwenda mbele...hakuna kutegea kunywa eti unaenda toi..ohh mududumu ananichelewesha mara ohhh sijui nininininiiii...pombe tuuu.