wadau naombeni msaada,
Nimenunua moderm ya vodacom nikiweka kwenye laptop yangu inasoma mtandao kawaida nikiconnect inaonesha connected ila transfer rate 0.0, ila nikiiweka kwenye laptop nyingine inafanya kazi vyema. Naombeni mwongozo ni tatue tatizo hili tatizo