Moderm gani nzuri ya kununua na kutumia?

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,922
1,195
Nina mpango wa kununua moderm ila mpaka sasa nashindwa ninunue ipi yenye speed na bora zaidi..
Nimefikiria ninunue Universal Moderm ambayo haiitaji kucrack
au ninunue ya airtel au vodacom ndio nicrack alafu nitumie..
Naombeni ushauri wenu wakuu..
Nawasilisha.
 
ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,410
0

Uzuri wa modem inategea sana mtandao na location..mfano kuna sehemu voda intenet iko mbovu na sehem hiyo airtel au tigo wako vizuri!!
Ushauri wangu ningekushauri kwanza uangalie wanaotumia modem hapo ulipo then ujue ni mtandao gani hapo kwako unashika intenet bila shida.
Ila unaweza nunua hata voda au airtel na kama ikizingua unai flash inakua inatumia zote, zantel pia sio wabaya ila shida yao ni kwamba modem zao hazikubali kuflashiwa, bila kuwasahau ttcl!!
 
alikhalef

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
722
225
modem nzuri ni kama hii yenye sifa zifuatazo:-

i) ikubali mitandao yote

ii) iwe na speed isiyopungua 7.2Mbps

iii) iwe na sehemu ya kuweka memory card

iv) iweze kupokea simu au kupiga simu pindi line yako unapoitia kwenye laptop

kwa msaada zaidi unaweza kunipigia mm ninazo hizo modem kwa bei poa sanaaa
 
sh. Ngapi hizo moderm?
 
clap

Senior Member
Aug 3, 2013
188
225
modem nzuri ni kama hii yenye sifa zifuatazo:-

i) ikubali mitandao yote

ii) iwe na speed isiyopungua 7.2Mbps

iii) iwe na sehemu ya kuweka memory card

iv) iweze kupokea simu au kupiga simu pindi line yako unapoitia kwenye laptop

kwa msaada zaidi unaweza kunipigia mm ninazo hizo modem kwa bei poa sanaaa

niliwah kupata modem kama hyo kwa elfu 30000 wakaiba sasa nahitaj tena nitapataje na bei ni shiling ngap weka hadharan jins ya kukupata au ni PM na gharama yake
 
ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,955
2,000
ndugu yangu ulipotelea wapi?
moderm zote ni nzuri isipokuwa inategemea na mahali ulipo kwa kuitumia kama ni mkoani ningekushauri ununue airtel, ttcl ndo bora zaidi ila uchaguzi mwingine ni wako mkuuu
Nina mpango wa kununua moderm ila mpaka sasa nashindwa ninunue ipi yenye speed na bora zaidi..
Nimefikiria ninunue Universal Moderm ambayo haiitaji kucrack
au ninunue ya airtel au vodacom ndio nicrack alafu nitumie..
Naombeni ushauri wenu wakuu..
Nawasilisha.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom