Kama tumeandika Uongo tunaomba utuwekee majina ya Ukweli.
Ikumbukwe kwamba wanaofichwa ni Mashahidi wa Jamhuri, wa Lissu hawafichwi
Ila chadema bado sana katika Intelijensia na kujipanga kuzuia matukio ya kuhujumu chama na hata kuwadhuru viongozi.
Kimebaki kama chama cha kichungaji badala ya siasa ya kutafuta dola .
Hivi chama kinashindwa nini kuandaa watu wa kufuatilia njia zote kwa kutumia magari ,pikipiki ,baskeli na hata kwa miguu na kuwabaini hao Watu waovu walioandaliwa na Watu wenye roho za kishetani kutoa ushahidi wa uongo kwa kiapo mahakamani .
Kuanzia pale watakapotoka mahakamani gari watakazopanda mnazifuatila mpaka mwisho kwakl kuweka watu kila kona na kila barabara na kupeana taarifa wanakoelekea mapaka mwisho . Mnasoma namba ya gari mwisho itakulikana imeishia wapi .
Lakini pia ni rahisi kumtambua mtu kwa kumangalia viganja vyake ,kimo chake , upana wa kifua , urefu wa mikono yake , mwendo wake , usimamaji wake , sauti yake , kichwa na shingo yake , uwiano wa tumbo na urefu wa miguu .
Na kama ni mtaalamu wa ramani au Engineer unaweza ukavijua hivyo vyote na kisha kupata vipimo halisi na kumbaini mtu hata kama amefunikwa uso na Sanda.
Lakini hii ni vita . Ushindi wa vita ni kummaliza adui .
Sasa kama haki hakuna ina maana hakuna hata Waganga wa jadi wa kushugulikia Watu wovu kwenye jamii kwa haki ?
Kama ni hivyo mambo mengi chadema hamtayaweza maana hata watawala kuna wakati wanakwenda kwenye mila.
Waovu wanashugulikiwa kiovu mpaka watubu. Kuna mahali Paulo alimkabidhi mtu kwa shetani ili apigwe na shetani kisha amridie Mungu.
Kwa hiyo kama mtu anakuja kutoa ushahidi wa uongo na kulipwa mapesa mengi na cheo juu halafu anafurahia maisha basi uovu hautaisha. Uchawi ni mama silaha bastola inamilikiwa kwa ajili ya kujilinda kwa haki na mali zako. Ukiwa na imani sana kwa Mungu hata silaha hutamiliki lakini imani ya kawaida ni lazima ujilinde.
Hao mashahidi na Mwanasheria wa serikali walitakiwa wawe wameshapigwa stroke kali na kushindwa kuongea .
Subirini kwanza Lisu anyongwe ndio mtajua kuwa Hakuna dini ya kweli kama haitetei uhai wa watu na kupinga dhulma kwa watu wanyonge . Yupo Jumane , Kingai ,Awadhi, Wakili Nasoro ,Jaji Mwanga , Yuke wa Suti nyeusi , Mchengerwa ,JK pale nyuma , Waarabu mabilionea wa nchi na top leader hawa ni watu wenye aganda nyuma yao yenye kutumia dini kama chambo cha kumiliki nchi na familia zao.
Kama tumeandika Uongo tunaomba utuwekee majina ya Ukweli.
Ikumbukwe kwamba wanaofichwa ni Mashahidi wa Jamhuri, wa Lissu hawafichwi