Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,761
- 25,654
Nimemjibu vizuri sana huyu Bwana Mdogo.Mkuu kwa heshima uliyonayo hapa jf sikutegemea ungetoa jibu baya namna hiyo
Nimemjibu vizuri sana huyu Bwana Mdogo.Mkuu kwa heshima uliyonayo hapa jf sikutegemea ungetoa jibu baya namna hiyo
Mana siasa ya CCM ndio mengi yana hulka hii..Kuna watu huwa wanahisi hawatakufa au pengine labda wanahisi wao wakifa hawataoza na kutoa harufu mbaya na kuishia kuliwa na sisimizi ardhinu. Nadhani watu wa aina hii mko wengi na kama mngetambua kama kila mmoja atakufa msingefurahia watu wengine wanapopitia mateso makali bila sababu zozote isipokuwa uonevu wa mamlaka
Sorry, nilichanganya. Nilidhani wametajwa wa JamhuriIkumbukwe kwamba wanaofichwa ni Mashahidi wa Jamhuri, wa Lissu hawafichwi
Una uhakika majina uliyoandika ni ya kweli?Kama tumeandika Uongo tunaomba utuwekee majina ya Ukweli.
Ikumbukwe kwamba wanaofichwa ni Mashahidi wa Jamhuri, wa Lissu hawafichwi
Nendeni huko Facebook, Mello anabeba liability binafsi na anaweza kukamatwa. Kama unajiamini nenda FB kapostKama tumeandika Uongo tunaomba utuwekee majina ya Ukweli.
Ikumbukwe kwamba wanaofichwa ni Mashahidi wa Jamhuri, wa Lissu hawafichwi
Labla heshima unayompa ww ila JF kama JF tunamuona kama takataka tuMkuu kwa heshima uliyonayo hapa jf sikutegemea ungetoa jibu baya namna hiyo
Je Mashahidi Wa Lissu wanafichwa? Halafu humu tumeandika mambo mazito mno kuliko haya madogo ya UshahidiNendeni huko Facebook, Mello anabeba liability binafsi na anaweza kukamatwa. Kama unajiamini nenda FB kapost
Kama tumeandika Uongo tunaomba utuwekee majina ya Ukweli.
Ikumbukwe kwamba wanaofichwa ni Mashahidi wa Jamhuri, wa Lissu hawafichwi
jf kupiga hatua kwa staili hii ni ngumu kidogoKama tumeandika Uongo tunaomba utuwekee majina ya Ukweli.
Ikumbukwe kwamba wanaofichwa ni Mashahidi wa Jamhuri, wa Lissu hawafichwi
Usipende kulalamika lalamikaShetani hana Rafiki, Zamu yako ikifika uufyate, kingine ni hiki , Sijawahi kuwapangia kazi moderator wa JF
Hao ni wahuni tu, hawana haja ya kufichwaJe Mashahidi Wa Lissu wanafichwa? Halafu humu yumeandika mambo mazito mno kuliko haya madogo ya Ushahidi
😆😆😆 Nyerere angewaza hivi hii nchi isingesogeaDah ila mkuu kusema ukweli unapambania taifa sana ,hivi hata unapata mda wa kulomba watoto wazuri kama sisi kweli ? View attachment 3445509na kunywa bia ?
Usichukie bwashee nimeuliza tu swali la kizushi , isitoshe nimelewa na leseni ninayo.
Wamefuta uzi nini?
Sasa unachopinga ni kipi?Hao ni wahuni tu, hawana haja ya kufichwa