Modems on sale

Mike2011

Member
Mar 8, 2011
62
1
Sasatel internet modem;goes for tzs 30,000 but i sell mine at tzs 18,000
ttcl internet banjuka modem goes for tzs 29,900 but i sell mine at tzs 18,000

both modems are in good condition and i have used them for less than 1 month!!

reason for selling; am broke and need a quick buck.
contact; call 0715435408 am at banana.
thanx.
 
KAKA sitakikuharibu Biashara iala kumbuka SASATEL wapo strictly sana na Modem zao zote zimesajiliwa sasa hiyo sio ya uwizi?

Je upo tayari kwenda ofisini kwao tukabadilishe UMILIKAJI yaani kuondoa Usajili wako na isajiliwe na Jina la mteja.

Naongea hivyo sababu kunajamaa alinunua modem kienyeji kwenda sasatel AKAKAMATWA NA KUPATA AIBU KUWA MODEM NI YA WIZI.

SO hapo inakuwaje.

Pia kama unataka Internet ya Bure kabisa ni PM.
 
no problem mzee,nataka kuziuza maana nilisha muazima jamaa modem yangu ya sasatel na akaitumia bila shida.so i hope atakaenunua yeyote hata leta complication za kuomba jina la usajili libadilishwe,hata hivyo hizi modem ni plug and play so cha msingi ni kuingiza tu vocha na kutumia.
 
hujajibu swali lake.hapo kwenye umilikaji,manake kuna siku itakuwa na shida na itahitajika kufika ofcn..ongelea hili itasaidia kupata mteja

Hapo kwa blue, nitapataje huduma? nina modem ya zantel na ninaishi kilimanjaro.
 
Mbona huyu Mike2011 kaingia mitini tena?. Mike uko tayari kwenda ofisi za Sasatel kubadili umiliki?
 
mie nipo tayari mike2011. niuzie hiyo ya sasatel. ni pm kwa maongezi zaidi.
 
hujajibu swali lake.hapo kwenye umilikaji,manake kuna siku itakuwa na shida na itahitajika kufika ofcn..ongelea hili itasaidia kupata mteja

matatizo ya hivyo ni hadimu sana kutokea but kama yakitokea na nipo around basi sina tatizo naweza kwenda.
 
kaka kaka hivi umesahau kuwa jamii forum mtu akisachi google tu anapata mambo yanayoendelea humu bila kulogin wala nini!!! any way mtu akini PM nampatia full details thats it!!in privatte
Ungetoa ufafanuzi kwa ili, ina maana mtu akikuPM utampatia internet ya bure? hakuna malipo malilpo yoyote utakayohitaji kwa mtu atakaye kuPM kutaka hiyo internet ya bure?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom