Modem za voda

Parasite

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
613
Reaction score
580
Wadau niaje poleni na majukumu, sasa hebu tusaidiane hapa kidogo. Nina moderm ya voda vipi kuna maujanja yoyote hapa tufanye ili itumie lain zote plz kama kuna maujanja tupeane wakuu ahsanteni sana
 
wadau niaje polen na majukumu sasa hebu tusaidiane hapa kidogo.Nina moderm ya voda vip kuna maujanja yoyote hapa tufanye ili itumie lain zote plz kama kuna maujanja tupeane wakuu ahsanteni sana

Sema Manufacturer na Model ya modem

Vodacom wameuza modem za Huawei zifuatazo-:
1.Huawei E173
2.Huawei E303
2.Huawei E303 Hi link

ZTE wameuza ambazo nyingi zina label ya Vodafone au logo ya Vodafone
1.ZTE K3760-Z/K3770-z
2.ZTE K3772-z

Modem zao hizo zinachakachulika Free of charge kwa msaada wa wakongwe wetu
Ila ZTE K3772-z ambayo inatumia Chipset ya ICERA hiyo bila 7$+ hauichakachui,which is nonsense for me ku unlock modem ya hivo kwa hiyo bei[emoji1]

Nafikiri nshakupa Highlights wewe tupe model fasta fasta kama usipoziona fungua ondoa mfuniko utakuta model zimeandikwa
 
model K3772-Z
IMEI(866055013325151)
 
model K3772-Z
IMEI(866055013325151)
Pole sana mkuu hamna Public Free trick ya ku unlock hiyo modem mpaka sasa

Zaidi lipia DC Unlocker 7£ Wataichakachua within 1minute

Kipindi nimejiunga JF kulikua na Desturi ya mtu kufungua thread nakuuliza "Nataka Kununua Modem je ni zipi zinachakachulika?"

Naona watu waige huu mfano maana modem ya mtandao mmoja ni Ndoa ya kikristu[emoji1]
 
njunwa msaada plz nakutegemea mkuu nichekie.manufacture ni
ZTE
 
dah!!poa mkuu kwa ushirikiano tuko pamoja sana kazi njema
 
njunwa msaada plz nakutegemea mkuu nichekie.manufacture ni
ZTE
Mkuu sijui ntakusaidia nn maana nshakueleza hamna Free trick ya kuichakachua hiyo modem,Yaani we jua mm ni mwenzako nilinunua hiyo Modem kwa target fulani maana PC yangu ilikua haidetect modem za Huawei nkijua ntaichakachua tena Free kufika nayo home nilijuta I see
Nilichofanya niliamua kuwalipa 7£ DC Unlocker waichakachue.

Kwa hiyo bei siwezi kukushauri labda uwe pure economist; ni bora ukanunue Modem ya Tigo afu ufate thread ya mwl RCT uichakachue na Downlink speed yake ipo juu zaidi 14Mbps mara mbili zaidi ya hiyo ya Vodacom

Ukinunua Modem ya Airtel(E303h-1 HiLink) au Vodacom(ZTE ICERA/K3772-z) wanazouza kwa sasa wewe jua umefunga Ndoa ya ki Kristo hapo hamna kuchepuka hapo unabaki na mtandao wao huo huo mpaka ununue Modem ingine
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Fanya mambo mkuu coz wengi wetu hatuna uelewa juu ya hilo suala la speed za moderm plz tusaidiane
 
Fanya mambo mkuu coz wengi wetu hatuna uelewa juu ya hilo suala la speed za moderm plz tusaidiane
Capacity ya modem kwenye Downlink(D/L) na Uplink inakua imeandikwa kwenye Box,modem wanazouza Airtel na Vodacom speed zake ni D/L 7.2Mbps wakati Zantel ni 21Mbps(HSPA+) na Modem mpya za Tigo ni 14Mbps
Yote unayakuta kwenye box lakini kuna njia ya kutumia Control Panel modem ikiwa connected ukabonyeza ile icon ya Network kwenye Task Bar

Note kwamba hizi modem zinaweza zisiwe na tofauti na modem za kawaida(7.2Mbps) kutegemea eneo ulipo....

Ila kwa wakazi wa DSM mitandao mingi inatumia Enhenced 3G hivo kwa wale heavy Downloaders wanaweza ku peak mpaka speed isiyo ya kawaida e.g Mm kwa Airtel naweza ku peak mpaka 16Mbps sawa na transfer rate ya 2MB/sec(Speed hauwezi ifikia iwapo unatumia 7.2Mbps modem)

Soma kwa makini usi misinterpret
 
mkuu Za zantel zinachakachulika?
 
wadau niaje polen na majukumu sasa hebu tusaidiane hapa kidogo.Nina moderm ya voda vip kuna maujanja yoyote hapa tufanye ili itumie lain zote plz kama kuna maujanja tupeane wakuu ahsanteni sana

= modem

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
so inamaana kwa upekuzi wa haraka hiyo ya zantel ipo juu aproximated 3MB/S,sasa je inachakachulika??@Na More Drama
 
so inamaana kwa upekuzi wa haraka hiyo ya zantel ipo juu aproximated 3MB/S,sasa je inachakachulika??@Na More Drama
3MB/sec ni very unlikely ufike personally nimewai fika ila with more advanced modem with up to 100Mbps with 4G metwork na up to 42Mbps with 3G network...

Mtandao unaoweza peak huko ni Airtel tu nafikiri kwa research zangu ambazo nimefanya in different potential areas

Modem ya Zantel inachakachulika lakini haitoweza kusoma GSM bands za Airtel but unatumia na all other networks
 
thank you dude be blessed all the best
 
na huawei EC 122 za zantel zinaweza kuchakachuliwa pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…