Modem ya sasatel

Modem ya sasatel

cyruss

Senior Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
196
Reaction score
40
wadau natumia modem ya sasatel..vp mpango mzima uleule wa kupunguza gharma(hack..) kama kuna mtalaam humu anijuze.
 
mkuu hizo modem za CDMA za sasatel na ttcl na zantel bado hazijapatiwa ufumbuzi wa namna ya kuzichakachua
Tafuta za GSM kama voda, tigo na airtel
 
mkuu hizo modem za CDMA za sasatel na ttcl na zantel bado hazijapatiwa ufumbuzi wa namna ya kuzichakachua
Tafuta za GSM kama voda, tigo na airtel

Nipe namba yako nikutafut uchakachue..vod,tgo au airtel
 
Back
Top Bottom