Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Wakuu hii modem nmenunua 2015 enzi hizo tigo wana zindua 4g Arusha, Nipoinunua ilikuwa inaingiza line za mitandao yote ila sasa kinachoni huzunisha ni kwamba sina option ya ussd kwenye hii modem,, Kila nkitaka kuunga bando inabidi nitoe line niweke kwenye simu ndo niunge...
MSAADA TAFADHALI
MSAADA TAFADHALI