wickerman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 408
- 248
UNLOCK MODEM ZA 4G TIGO:
Kama una modem ya 4G ya tigo (E3372h-153) ambayo hujaifanyia ANY modifications, nafanyia network unlock ili iweze tumika kwa mitandao yote!. Plus network unlock code pia nakupatia(Just incase).
NOTE: For now, Hii ni kwa walio DSM tu (mpaka nitakapo shusha Tech Guide ya jinsi ya kufanya hii kitu.).
Check me up inbox if serious, uzi unajieleza, so si tegemei maswali ya ajabu inbox.
1. Modem ikidai Unlock code.
2. Baada ya kuweka code, ikawa ina piga mitandao yote.
3. Modem nikiwa nimeiwekea Modded(Unlocked) UI...
4. Huawei E3372h-153