L3 imekufa charge system baada ya miezi mi3 sasa ipo ndani tuu. Hizi simu kwakeli you buy at your own risk. Nahisi ni mbovu.
phantom pad min ,internal 16 GB,prosessor 1.2gb ,camera 5 mp 3g support call tablet kazi ni kwako
Uongo mtupu? unadanganya nani na zimejaa kila mahali hapa Kenya.hizo simu serikali ya Kenya ilipga marufuku kuingizwa kwao.
Kwanza nilikua na tecno l3 nmekaaa nayo miez2 ikaanza kuzingua charging system.napeleka kwa fundi natoa 20000 kama mara3.nikauza nikanunua p5.yaan io ilinifia ktk gari.ikizima yenyewe adi leo ni marehemu.maana mafundi wameishindwa.io nmekaa nayo week na nlinunua laki2!!
Km ina warranty peleka NHC HOUSE posta mtaa wa Samora wanafanyia marekebisho