Model ipi ya Tecno smart phones ni nzuri kuliko zote

Model ipi ya Tecno smart phones ni nzuri kuliko zote

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Wakuu naomba kila mwenye uelewa aweke maneno hapa. Naomba kufahamu ni model gani ya TECNO smart phones ziko bomba sana (this shall not be limited to mobile phones). Kama wana IPAD, usisite tupia maneno nijuze.
 
Phatom A yoyote ziko powa.

Advantages of tecno phantom over other models (p3,l3,n3,p5,m3)

GoodCPU speed
1GB of Ram
 
Nimeona kuna mdau amesema phantom ni bomba, je kuna zaidi ya hiyo
 
Nimeona kuna mdau amesema phantom ni bomba, je kuna zaidi ya hiyo

Phantom Pad ndio ipo juu ya Phantom A na A+

phantom pad ni TABLET ambazo nazo ni kwa size ni kubwa kuliko simu zingine, hazipendezi sana kutumia kama simu peke yake, labda uwe na simu nyingine ndogo ya uhakika.
 
tablet phone yao inaitwa Tecno phantom min pad ipo bomba ni fast
 
Sema km unahitaji nikupe Namba ya MTU alikuwa akiuza 320000 ndani ya box huko dsm
 
hapana kwa sasa siko tayari kaka.nikiwa tayari nitakucheki uniunganishe naye
 
Mkuu tecno kama hauko mbali na eneo lenye 3g ziko bomba sana, ila kama uko mbali na 3g ni majanga!
 
ninatumia tecno P3 miezi tisa sasa, inatosheleza mahitaji yangu mengi sana ila kitu kimoja tu ambacho sijapenda ni kamera yake kushindwa kuonyesha picha zinazopigwa usiku hata flash ikiwa ipo on. Sijajua kwa matoleo ya juu kama wamerekebisha swala la kamera kwenye sehemu yenye giza.
 
Mkuu tecno kama hauko mbali na eneo lenye 3g ziko bomba sana, ila kama uko mbali na 3g ni majanga!

Tecno zinajitahidi sana kwa inshu ya network kuliko samasung nimeprove hilo.
 
Back
Top Bottom