Sidhani kama allegations zako ni za kweli , kuna kipindi humu JF watu walizusha Malaria Sugu ni Mod, ikaja Rafiki wa Mod, ikaja anapendelewa.. lakini alipo provoke sheria za JF , akaadhibiwa kama kawaida.
kama unachokozwa ndugu jitahidi kupunguza hasira zako, hasira ni hasara.. kaa kimya kwani dawa ya mjinga ni kumu ignore