Mobior Garang Katika sura ya kazi!

Mobior Garang Katika sura ya kazi!

Aisee bilashaka huyu anauhusiano na Al-shabaab
 
Huyo jamaa karibu robo tatu ya maisha yake ameishi porini,kuoga kwa mwaka mara 10 bunduki ni kama kalamu ya Chenge ya kusainia dili feki,hebu piga picha ndio ameingia mjini sasa
Hatari sana!
 
Ni mtoto wa kwanza wa kiume wa muasisi wa taifa la Sudan kusini ndgu John Garan am not sure about uwaziri kwa sababu najua huyo dogo yupo upande wa Dr. Leak Machal makamu wa rais wa zamani kwa sasa anaishi uhamishoni South Africa na hyo familia ya hayati John Garan inaishi uhamishoni Nairobi Kenya
 
Back
Top Bottom