Ndo nani huyu?View attachment 718734 hebu mcheki hapo ana wa mbuzi balaaView attachment 718734
Waziri wa SudaniNdo nani huyu?
Huyo jamaa karibu robo tatu ya maisha yake ameishi porini,kuoga kwa mwaka mara 10 bunduki ni kama kalamu ya Chenge ya kusainia dili feki,hebu piga picha ndio ameingia mjini sasaWaafrika bado tunaundergo evolution kweli
KhaaWaziri wa Sudani
Ingekuwa vizuri kama ungesema ..... Wa Sudan KusiniWaziri wa Sudani
macho yake yanasema mengi..Akiwa kidiView attachment 718745
Alikuwa HB sana alivyokuwa KIDI.Akiwa kidiView attachment 718745
Ahahahahaaaaa huyu jamaa ni balsa aiseeHuyu jamaa ni kati ya watu ninaowastaajabia sana..View attachment 718754View attachment 718755View attachment 718756View attachment 718757View attachment 718758