Mobile tracker - simu imeibiwa sa 5:07pm ikapatikana saa 8:49

kama simu yako ina ovi store itakuwa
vzuri zaidi. Nenda kwenye ovi store
utafute application inayoitwa f secure
n kama ukiikosa hyo waweza kuona
nyingne inaitwa netQin ant virus

thanx mkuu nimefanikiwa ila nimepata MCfee
 

mkuu nkiwa na shida ya kwenda kupiga mkwara mahali, chonde chonde ntaku PM unikodishie huyo jamaa aka, mana ni mkareee!
 
You made my Day... Kula 5 na tuko Maximo... du hadi raha atii!!
 
kama simu yako ina ovi store itakuwa
vzuri zaidi. Nenda kwenye ovi store
utafute application inayoitwa f secure
n kama ukiikosa hyo waweza kuona
nyingne inaitwa netQin ant virus

Mkuu nimepata F-secure lakini mbona nimepata trial version ya siku saba
 
kula 5 mkuu hao kama kumkamata mlevi yani utafikiri kipindi cha bongo dar
 
Mkuu nimepata F-secure lakini mbona nimepata trial version ya siku saba
Ni kweli F-Secure ni trial..hebu jaribu NetQin ambayo inafanya vizuri hadi kwenye mambo ya virus. Kama huipati kwenye ovi store itafute kwenye GetJar..(www.getjar.com)
 
kama hyo imegoma basi tafuta NETQIN ant virus.... mimi natumia f secure anti theft na pia natumia netqin ant virus na anti lost........ NETQIN ndo nzuri zaidi kwa sababu yenyewe ina hadi browser secure pia ni full version
 
Mkuu nimepata F-secure lakini mbona nimepata trial version ya siku saba

[h=2][/h]
kama hyo imegoma basi tafuta NETQIN ant virus.... mimi natumia f secure anti theft na pia natumia netqin ant virus na anti lost........ NETQIN ndo nzuri zaidi kwa sababu yenyewe ina hadi browser secure pia ni full version....
 
Daha,ngoja nami nianze kuitumia hii tracker!
 
Nimeipenda hii. Ila nina ile nokia mchina na samsung mchina hizi nazo zinaweza?
 
Sharobalo.. mie nilijua huu utundu wa kuhack ni wa kwenye mtandao tu kumbe hata uraiani unautumia hahaaa...
 
Hii nimeikubali sana kaka bonge la movie based on true story ..kula gwala!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…