Roadmap
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,898
- 5,797
Wakuu mimi ni mjasiliamali ambae walau kwa siku naweza kuingiza faida ya elfu tano au elfu kumi sasa ombi langu kwa haya makampuni yanaoendesha mobile money kama T-pesa, Mpesa, Tigopesa,Eazy pesa na halopesa kuwa wafikiria namna ya kuweka Account ambayo mtu unaweza kuweka kiwango fulani cha pesa ila tu Huruhusiwi kukitoa mpaka muda ulioset ufike kama ilivo kwa mabank, Ila tu wao waturuhusu ku deposit pesa ila ku withdraw iwe mpaka kwa muda mteja aliochagua, Wanaweza kutoa interest kwa muda ulio fix hio pesa.
Mana njia ya kibubu ni locally sana na usalama wake ni mdogo
Mana njia ya kibubu ni locally sana na usalama wake ni mdogo