mobile messengers

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
16,506
20,143
niaje wakuu? jumatatu nyingine. leo naomba nichangie kidogo kuhusu mobile IM apps. kwa wale wenzangu ambao hatuna smartphones zenye uwezo wa kuchkua apps kama BBM for bb,watsapp etc. ukiacha mkombozi wetu wengi ambaye ni eBuddy leo naomba niwaletee ki2 inaitwa IM+ HII imekompraiz mambo mengi mpaka skype pale kati. nawashauri wakuu mjipatie nakala zenu leo
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom