Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,546
Wazo lako zuri naipataje hiyo phoenix, Mkuu au kama hautojali naomba procedure.Instal phoenix os ambayo utatumia kuinstal mobdro kwa pc
Thanks BossNenda gugo andika ivo
uje na mrejesho sasa ukifanikiwa,wahanga tupo wengiThanks Boss
Poa ndo naidownload hapauje na mrejesho sasa ukifanikiwa,wahanga tupo wengi
Chief naomba unipe link ya kudownlod application ambayo itafanya laptop yangu iweze ku connect wireless networkau download bluestacks halafu eka mobdro.
wireless ni hardware kama computer yako haina ndio basi, labda kama unamaanisha driver.Chief naomba unipe link ya kudownlod application ambayo itafanya laptop yangu iweze ku connect wireless network
Natumia acer travelmate 5735 ina window 07. Ndio nataka driver wireless.wireless ni hardware kama computer yako haina ndio basi, labda kama unamaanisha driver.
unatumia pc gani na windows gani?
Mkuu kwema naomba msaada wako kuhusu installation ya game, Kuna game nimeingiza lakin nikitaka kuplay inaandika d3d_dll is missing, nafanyaje, lakini kwa computer yenye specifications nzuri ya kucheza magame mengi naweza kuipata kwa bei gani?wireless ni hardware kama computer yako haina ndio basi, labda kama unamaanisha driver.
unatumia pc gani na windows gani?
download direct x mkuu, kwanza angalia folder la hilo game kama setup yake imo kama haipo search online direct xMkuu kwema naomba msaada wako kuhusu installation ya game, Kuna game nimeingiza lakin nikitaka kuplay inaandika d3d_dll is missing, nafanyaje, lakini kwa computer yenye specifications nzuri ya kucheza magame mengi naweza kuipata kwa bei gani?
Nashukuru
nenda hapaNatumia acer travelmate 5735 ina window 07. Ndio nataka driver wireless.
Wee jamaa mvivu,mobdro mbona iko poa haina hata adonsHiyo Mobdro nilijaribu kuinstall kwenye simu yangu, looh inataka access ya vitu vingi sana toka kwenye simu yangu. Nikaipiga chini.