No role modelz92199
Member
- Jul 29, 2016
- 21
- 3
Poapao
pia kuna SYBLA TV... Hii inakuletea mechi zinazochezwa kwa wakati huo, ni ww tu kuchagua, sio mpk utafute hd upate tv inayoonyesha... haipo playstore thoughChef mkwawa ni apps gani Kali nyingne kuliko mobdro
Inapatikanaje hiyo kitu mkuu tuwekee link tuipakue hapapia kuna SYBLA TV... Hii inakuletea mechi zinazochezwa kwa wakati huo, ni ww tu kuchagua, sio mpk utafute hd upate tv inayoonyesha... haipo playstore though