Mob Justice: Sort of a Solution to Ufisadi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mob Justice: Sort of a Solution to Ufisadi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Mar 23, 2009.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Ni lini tutaamka tukiwa na hasira za kweli na kufanya kweli?

  Leo hii tunapingana na kubishana kuhusu Rostam, Lowassa, Lukaza, Chenge, Karamagi, Jeetu na wengine wengi ambao wamehujumu nchi yetu. Lakini mkondo wa haki na sheria ni butu, vyombo vya dola vinaogopa wahujumu hawa maarufu kama mafisadi, wanasiasa na wakubwa wa mashirika wanashirikiana na hawa mafisadi kuhujumu nchi na hakuna anayediriki kuona soni na kuwajibika au kukaripia uhujumu na ufisadi.

  Sasa kama tuliowapa dhamana ya kutulinda na kutoa haki wanashindwa kazi zao na kila tukichagua watu wapya, tunakuta mizizi iliyokomaa ya hujuma na ufisadi imetambaa kama gonjwa la Ukimwi au Satarani, basi kwa nini tusichukue hatua mikononi?

  Leo mwizi wa kuku, redio au tairi la gari hupewa mkong'oto mkali na huswekwa jela akibahatika kufika huko akiwa hai, lakini wanaotuhujumu kwa mabilioni, ndio kwanza wanakaribishwa kukata tepe, wanapokelewa kwa maandamano na bado wanaendelea kupelelezwa kisa eti ushahidi hautoshi au wapepelezi na waendesha mashitaka wanasubiri ridhaa ya Rais kufungua mashitaka?

  Nasema bila woga, pamoja na kuwa ni kinyume cha haiba yangu, wakati umefika, tujichukulie hatua mikononi, tuanze kuwapiga mawe na kuwachapa kila aliyeshindwa kazi na kutuingiza katika umasikini kwa kutuhujumu.

  Sijali awe Rostam, Mkapa, Chenge, Karamagi, Lowassa, Lukaza, Vithlani, Patel au Mattaka, kama kuna kiongozi au mtendaji ambaye ametuingizia hasara ambayo ni kutokana na uhujumu, sherti tumchape viboko akiwa ma ta ko wazi hadharani, kisha tumtembeze nchi nzima akiwa uchi kama tunakimbiza Mwenge au wale vikojozi mtaani azomewe, achapwe mijeledi na hata tumpige mawe.

  Labda hapo tutakapoamka na kujichukulia sheria mkononi, Wanasiasa wetu watakuwa na adabu na kujifunza kuchapa kazi na kuwa waadilifu na wanyenyekevu!
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Mar 23, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Rev. Kishoka,
  Mzee unatisha!.. hivi kweli wewe ni Rev, duh! msalie mtume mkuu wangu..
   
 3. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mkandara,

  Unajua hata kwenye vile vitabu, kuna jino kwa jino kwi kwi kwi!

  Lakini inaudhi tulipofikia na kunaonekana kana kwamba sis tutazoea na tunyamaze tusilalamike.

  angalia hili suala la Richmond/Dowans, EPA na la Rada, serikali inafanya kazi kwa woga, watuhumiwa wanatamba kuwa na nguvu na kila aina ya ujinga.

  Kama serikali imeshindwa, sisi tunaweza, tuwachape viboko, kisha tuwafilisi!

  Tutawaacha hai, waendelee kuishi kwa aibu na mateso kama waliyotutesa na wanavyoendelea kututesa.
   
 4. M

  Makelele Member

  #4
  Mar 23, 2009
  Joined: Sep 23, 2007
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Baada ya kauli ya Pinda kuhusu Albino tutawasikia wengi watakuja na yaleyale.
   
 5. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ReV. Kishoka
  Kwa sababu watawala wanaona aibu kuchukua hatua,DPP ni kijana mdogo amewekwa pale hana uzoefu na hii imepangwa na mafiasadi;Polisi IGP ana uhusiano wa karibu na JK wameoleana shemeji japo dada kaachwa! Boss wa Usalama wa TAIFA kawekwa na Rostam; TAKUKURU haina meno kwani ni fadhila tu kapewa na Mahakimu wengi ni wa kuchonga hawana mwelekeo na Kikwete anakataa kutumia sheria ya wahujumu. Vyama vya upinzani hakuna vyote ni vya CCM au serikali yenyewe na ukizingatia wengi ni wajinga na waoga kiama ! Tumebaki na njia hiyo ya Kuwahukumu Mafisadi papo kwa papo kila tunapowaona mitaani kama vibaka wengine wavishwe tairi na kudumu cha Petroli waaaka!!!!!!! kwa sabubu yale ya Mdagascar jamii yetu bado haijapata mwamko wa kutekeleza. Potelea mbali kwani sioni mwanga,,,, I can't see light at the end of the tunnel!!!!!
   
 6. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ngurumo aliandika makala jpili iliyopita chini ya kichwa cha habari "Watawala wanaandaa magaidi". Hii ni kweli na ndicho unachojaribu kukionyesha hapa Rev, kwamba wakati inapofika kila kitu kikawa kimekwama, basi watu kwa kuwa sio wanyama ni lazima watafute suluhu. Hii inadhihirisha kama serikali haitakabiliana na wimbi hili la wachache kuhujumu uchumi wa watanzania kwa haki na uwazi na kwa mwendo wa kuridhisha wananchi, basi sioni muda mrefu kupita kabla haya aliyosema Rev na Ngurumo kutokea.
   
 7. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Pale mtaa wa Congo, mbiu ya mgambo inaposema "mwizi huyo" hakuna subira, watu huamka na kumkimbiza mwizi na akikamatwa, hupewa kibano hajawahi kuona na mara nyingine hupoteza maisha.

  Polisi wakifika, mara nhyingine hushangilia hivyo vitendo vya kuwapiga vibaka na kusema "huyu alizidi hasikii na hafundishiki"!

  Watanzania ni watu wema sana na wakarimu, hawa mafisadi tumewapa muda sana watusikie na wafundishike. sisi tumewaomba wawe wanyenyekevu na waje kutuomba msamaha, warudishe walichochukua, wakubali kuwajibika na kukukir walikosea, nasi kwa ukarimu wetu na busara zetu, tuko tayari kwasamehe. Tunawaasa wasiendelee na tabia hizo zilizowafanya wapotoke na kutuhujumu, ili wasije rudia makosa.

  Lakini, mafisadi hawa, wanatamaa zaidi, wanaona ni haki yao kuendelea kutunyanyasa, wanaona hakuna walilokosea, hawaoni umuhimu wa kuungama na kutubu walipokosea, wao wanadai eti watakula wapi! Hawa wanatamaa ya mali na madaraka, na mishipa yao ya noma, imekatika. Hawafundishiki, hawasikii la mtu.

  Sasa dawa yao ni ile ile ya yule mwizi pale mtaa wa Mkwepu, kupigwa viboko na hata vitofa. Mali zao tuwanyang'anye na tuzigawe kama Wayahudi walivyoligawa vazi la Yesu.

  Tutakapomsiliba mmoja wao au wawili hivi, wengine wataamka.

  Nami nitatoa mapendekezo ni nani wawe wa kwanza kusilibwa, ni Edward Lowassa na Andrew Chenge, hawa ndio waliojifanya wafalme kwa kukataa kutubu na kuandaa maandamano kujitukuza.
   
 8. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  WEWE NDO MDINI,TENA FISADI. ni mmoja wa mafisadi wanaowapiga vita wale watu wa tume ya akina mwakyembe. hako ka agent ka RA kama kanataka kuleta za kuleta, ulitaka yeye afanye nini? ni bora seleliii mmoja kuliko kina RA na maagent wao million mia moja. elewa msee?
   
 9. A

  August JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  naona hii article ingejumuishwa au ingeongezewa maoni ya Wereboya? yenye kichwa cha habari Utopia: Kama Rosta yupo kwenye Maji Taka then Mwakyembe yupo Dampo. ( The Heading ya Thread ni Press Conference ya Mwakyembe Kuhusu Dowans) ?
   
 10. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Sijakuelewa.

  Umeniita mdini, na fisadi. Unaweza kufafanua kauli yako na kutoa mfano wa Udini na ufisadi wangu? Maana inaelekea unakijua unachokizungumza na ningeshukuru kama ungeweka hadharani vithibitisho vya tuhuma zako ili wana Jamii wajionee ukweli.
   
 11. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  NImesoma ile thread ya Waboyerwa, naye anazungumzia CCM na waliomo ndani ya CCM.

  Hivyo mada hizi mbili haziendani, ingawa zinazungumzia Ufisadi.
   
 12. A

  August JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  ukisoma in between the line amezungumzia walio wasafi watoke ccm, au hiyo ni vision yangu?
  kama ni vision yangu na wewe upo correct then i am sorry, but if you are wrong then you ought to be flexi
   
 13. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukweli wenyewe ndiyo huu, wananchi tuamke na tufanye kweli. wezi wetu wanapeta mitaani na kulindwa. Watanzania inabidi tuache woga na tusimamie haki yetu kwa maguvu maana kelele tumepiga lakini hatusikilizwi. Nina hamu ya kumpiga Mkapa mangumi ya tumbo.
   
 14. Kikojozi

  Kikojozi JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 331
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Rev,

  I understand your anger and frustration but I do not agree with what you are proposing.

  Hii concept yote ya ufisadi ni kama kiini macho/kanyaboya: its just a group of highly educated and experienced people (mostly senior civil servants and politicians) comitting white collar crime, using their ill-gotten loot to bribe junior officials and 'hoodwinking' the ignorant public.

  The reason they get away with it is because the critical mass is too ignorant to hold them to account.

  Solution hapa is to close (or significantly reduce) the knowledge gap between the critical mass and the so-called "fisadis". As great thinkers, the challenge is how to execute this.

  Mob justice may not necessarily work because:

  1. A significant size of the population are beneficiaries of the "fisadi" funds.

  2. Whereas mob justice is crude and simplistic, "Fisadis" use advanced and sophisticated techniques.

  There is a very good chance mob justice may cause more harm than good. In any case mob justice has not deterred petty thieves in our society.
   
 15. mwakatojofu

  mwakatojofu JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2009
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wezi wa mitaani si sawa na mafisad wanaotutia hasara za mamilion na kusababisha mama zetu wajifungulie majumban kwa kukosa huduma za hospital. hawa mafisad kwanza ni watu 'wanaoheshimika katka jamii'. ni watu wakuomba kura toka kwa wananchi. ni watu ambao mpaka wapate madaraka ya kuteuliwa ni lazima waonyeshe 'displine' ya aina fulan.

  wakibondwa mawe heshima itapotea na wala hawatoweza simama hadharan tena kuomba kura. na hata nafas ya kuteuliwa itakuwa imeota mbawa. kwake ufisad utakuwa umekoma

  lakin tutafikaje sehemu tuanze kumpiga say EL au RA? kwanza lazima tutapata habari say kupitia vyombo vya habari kuwa jamaa ni fisad. tutapata habari za uongo na za kweli. nilipata kusoma sehemu kuwa uongo ukirudiwa rudiwa unakuwa unaonekana kama ukweli. kwahiyo jamaa anaweza singiziwa tukambonda. maskin, huenda hatakuwa na chombo cha habar cha kusemea upande wake

  shida ya mitaani kwetu kuwabonda ni sawa lakin ukifanya hivyo watu watakuona how come. mnampiga mbunge? nyie lazima mtakuwa vibaka mnaotaka kumuibia. kibao kinakugeukia wewe. ndivyo ilivyo katka jamii yetu. misifa kibao mitaani and they dont care how you made the money. nafikir hata USA ndio hivyo

  na hata kujiorganize na kumshushia kipigo fisad ni kaz sana. na kumbuka hawatachelewa kuomba serikali ianze kuwapatia ulinz watu fulan fulan huko juu

  na mishahara ilivyo midogo etc. huko serikalin wapokea rushwa kibao. tukianza kuwapiga kama vibaka watabaki wachache sana

  cha muhimu ni kuhakikisha tuna watu waadilifu na wanaosimamia taratibu wa kutosha huko juu (bila kumsahau rais, spika). na wasio fumbia macho ufisad
   
 16. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wajameni lets be honest, tunaanza kuspread sumu mbaya ya kutaka kupigana, sawa tutapindua nchi lakini tutaumia sisi wao watasepa, mtu fulani atasema hakuna maendeleo bila kafara I mean without sacrifice, tunawaitaji wao walipe kwa madhambi yao, Rwanda na Burundi ilianza mdogo mdogo kama hivi. All in allswali la kizushi Lowassa, Msabaha, Karamagi(Mzee wa wake za watu), Chenge au Rostam wana jeuri ya kutembea kariakoo wakifanya shopping?
   
 17. A

  Audax JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Itabidi tudeal nao sisi kama wananchi!!Na njia zetu ni kama hizo hamna nyingine
   
 18. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  thumb up Rev. Kishoka.
  tanzania bila kuwa na makaburi ya wahujumu na mafisadi hatuendi. vilevile makaburi ya watetea haki lazima yawepo. Haya yatatokea pale polisi na wanajeshi watakapojua wanaowalinda wanawaibia wanawanyanyasa, wanawatesa, wanawatumia na mwishowe wanawang`ong`a.
  Vilevile wananchi wajue watawala wanawalinda mafisadi, yaani Rostam analindwa kuliko yai.
  Nyerere aliwahi kumweka mtu jela kwa kusema ameweka serikali yake mfukoni.
  Serikali ya Kikwete imewekwa kwenye mifuko michakavu na wengi. Rostam anatesa kuliko raisi mwenyewe.

  Na wajue kuwa fujo zozote zile zitaletwa na wao na wao ndio waathirika wakwanza.
   
 19. A

  August JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Naona Wa-Scottish wameeanza na Mafisadi wao
  Watch our videoATTACK: Sir Fred Goodwin

  « Previous « PreviousNext » Next »View GalleryADVERTISEMENTPublished Date: 25 March 2009
  By Mark McLaughlin
  THE home of former RBS boss Sir Fred Goodwin has been targeted by vandals who smashed windows and damaged a Mercedes parked in the driveway.
  Two disturbing e-mails from a group claiming responsibility for the attack were sent to the Evening News in the early hours of this morning, branding all bank bosses "criminals" and threatening further action. The News has passed the e-mails to police.

  It is understood Sir Fred is not currently living at the large, detached property in The Grange area of Edinburgh.

  Officers, who were alerted by a burglar alarm, arrived at 4.35am and inquiries are ongoing.

  Neighbours awoke to find police cars outside the property this morning.

  One of the e-mails, sent from the address bankbossesarecriminals@mail.com, says: "Fred Goodwins house was attacked this morning.

  "We are angry that rich people, like him, are paying themselves a huge amount of money, and living in luxury, while ordinary people are made unemployed, destitute and homeless. This is a crime. Bank bosses should be jailed. "This is just the beginning."

  Police confirmed Sir Fred was not in the property at the time of the attack, and police say no-one was injured.

  Three smashed ground-floor windows of the stone villa were clearly visible today.

  In the driveway, the rear window of a dark-coloured Mercedes S600 saloon was smashed, as well as the nearside rear passenger window.

  A police spokesman said: "The Force had been alerted following the activation of security systems at the premises.

  "Officers, who had been in the vicinity, were at the scene within minutes and discovered there had been vandalism to windows of the property and damage to a car.

  "Inquiries are ongoing to find those responsible for the vandalism.

  CCTV footage is being recovered and door to door inquiries are being carried out in the area."

  He said inquiries were at an "early stage" and appealed for information.

  "We are aware that an organisation claiming to be responsible for the vandalism had made contact with media outlets and this also forms part of our inquiry. The Force takes very seriously any planned attack on any individual or their property.

  "We have been in contact with the owner of the property, who was not in the house at the time, and can confirm no one was injured."

  Sir Fred has been the subject of widespread public condemnation in recent weeks for his decision to keep his £16.9 million pension pot.

  He was forced to resign from his post last October after overseeing the biggest loss in corporate history as the bank lost £24.1billion.

  Neighbour Roger Spooner, owner of the nearby Penfriend Ltd, said: "He's not living there at the moment, and we've not really had much bother there recently."

  Another neighbour who lives across the street, but asked not to be named, said: "I didn't hear anything.

  "The first I knew of it was when I was shaving this morning and heard it on the radio.

  "I came out to make sure that my house wasn't damaged too.

  "Luckily we were fine. I have been expecting something like this to happen for a while now, so I'm not surprised."

  A spokesman for the banker said he would not be commenting on the attack.

  It has been reported that RBS continued to pay for personal security for Sir Fred following his departure from the bank, including CCTV monitoring of his home.

  An RBS spokesman said today: "We are aware of the incident but it is a matter for police. There are security arrangements in place for Sir Fred, as is normal practice for departing executives."

  Sir Fred's local MSP also condemned the attack, and said the former banking boss and his family had the right to live without fear of violence.

  Liberal Democrat Mike Pringle said: "It is right that we have a debate over the unjustified and unacceptable pension gifted to Mr Goodwin. It is, however, wrong that his home should be targeted for attack.

  "The police should treat this case as they would any other crime."

  A spokesman for Gordon Brown, asked if the Prime Minister had sympathy for Sir Fred, said: "On the specific question of damage to his property, there can be no excuse for it at all."  The full article contains 722 words and appears in Edinburgh Evening News newspaper.Page 1 of 1

  Last Updated: 25 March 2009 1:53 PM
  Source: Edinburgh Evening News
  Location: Edinburgh
  Related Topics: Royal Bank of Scotland
  Bookmark:
  Del.icio.us Digg Facebook reddit StumbleUpon
   
 20. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Tahadhari, nimesema tuwachape mafisadi viboko, sijasema watu wapindue Serikali!

  Maana naona wengine mshaanza kuongea ki-Latini mkiashiria vurugu za mapinduzi.
   
Loading...