Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

Mbeya kwanza wameshinda jana.ugenini je tuseme ni bora kuliko mtibwa..? Bado.mapema au costal union ni bora kuliko azam bado ni.mapema saana
Usiwachukulie poa Mbeya, wanakimbiza balaa. Kapigwa Prisoni, Mbeya City, Ihefu na Mtibwa.
Isiwachukulie poa, wana stamina ya kufa mtu.
 
Kutokucheza vzr kwa mtimbwa kwa mechi moja hatuwezi.kusema mtimbwa ni mbovu mwisho wa msimu ndipo tutafanya tadhmini.inayoonekana kulingana na point na msimamo.
Mtibwa msimu ulopita alikaribia kushuka daraja na bado hadi sasa timu inacheza haieleweki inatafuta nini kwanini watu wasiwe na wasiwasi kua yanaweza kujiridua ya msimu ulopita?
 
Na huyo alie mfunga kapanda daraja au azam.kafungwa na Costal Union tuseme Costal union wapo njema zaidi.ya azam..?
 
Azam hajafungwa bali katoa sare na katika mpira ili ufungwe lazima ufanye makosa na makosa yanasababishwa nakukosekana na umakini,ubora na uzembe.

Ili ufingww lazima timu moja iwe bora siku hiyo kuliko nyingine
 
Azam kiubora alitakiwa ashinde
 
Back
Top Bottom