Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Kubali kuingia mkataba na Azam media upate pesa ya kusajili wachezaji wanaoeleweka au Tumieni zile 20B kununua wachezaji wanaoeleweka kwenye dirisha dogo na sio kuzidiwa kete na Yanga kwa wachezaji kama Aucho na Djuma.

Acha ubahili,uza uchafu wa mabasi yote,nunua basi moja la maana na Coaster ya Simba Queens.

Acha kuingilia maisha ya wachezaji kama ulivyoingilia maisha binafsi ya Chama hadi ukamkera na hakutaka kuendelea kubaki Simba.

Acheni kuwadanganya wapenzi wa Simba kuwa timu hii ni bora kuliko Simba ya mwaka jana,kwani sasa tumeiona wenyewe.
Waambieni kama mnaandaa timu ya kushinda vikombe miaka miwili baadae ili msiue watu kwa pressure.

Wachezaji wanaonekana hawana furaha,kuna nini kimetokea?
 
Gari likiwaka.mtaanza kusifia hakuna kitu utafanya kila.siku wewe ushinde wewe tu haaahhhh. Tujifunze kuwa na subira. Katika imani subira ni tiba. Simba haija anza vibaya hii ligi imeanza vzr na uwanja umewaharibia plan zao leo.
 
tapatalk_1630086063971.jpeg
Kula TIKITI MAJI hilooo!
 
Kwani ni mara ya kwanza kwa Simba kucheza kwenye uwanja wa dizaini hiyo? Simba hao hao wamecheza na biashara kwenye hivi viwanja dhidi ya Biashara msimu iliyopita na kupata matokeo
Sawa mwanzo mgumu na pia ujue ushindani mwaka huu utaongezeka hivyo tuwe na subira kwa maana kila.kizuri ni.mipango.na changamoto kama za leo. Japo kwangu mimi.leo.walicheza vzr.
 
Back
Top Bottom