MO,MANJI,BAKHRESA MSIBA HAMJAUSIKIA

MO,MANJI,BAKHRESA MSIBA HAMJAUSIKIA

watu wanaishi kwa Code ... we tulia waachie mambo yao .. hao na wewe mnaishi dunia mbili tofauti ... na fasiri yako ya matukio kama haya ni tofauti sana na hao jamaa wanavyoya tafsiri
 
Watanzania tuache upumbavu wa kifikra. Hujasikia wewe lakini sio lazima kila kitu kiwe public, watu wengine hawapendi kiki hasa kwenye mambo kama misiba.

Salamu zao za rambirambi utajuaje kuwa wamezifikisha kwa familia ya marehemu privately?

Acheni ujinga fanyeni mambo ya msingi.
 
Mkuu embu kuwa na akili hata kidogo bac unazidiwa hata na nzi kutoa rambi rambi na kuudhuria kwenye msiba nijambo lingine unafikiri wote waliopo pale wameshindwa kutuma rambi rambi?
 
Mtoa maada anauliza mbona wahindi wakipata matatizo huja mbele kutafuta huruma ya wananchi?
Mbona sisi tukipata matatatizo wao hukosa ushirikiano?
Watanzania tuache upumbavu wa kifikra. Hujasikia wewe lakini sio lazima kila kitu kiwe public, watu wengine hawapendi kiki hasa kwenye mambo kama misiba.

Salamu zao za rambirambi utajuaje kuwa wamezifikisha kwa familia ya marehemu privately?

Acheni ujinga fanyeni mambo ya msingi.
 
Mkuu embu kuwa na akili hata kidogo bac unazidiwa hata na nzi kutoa rambi rambi na kuudhuria kwenye msiba nijambo lingine unafikiri wote waliopo pale wameshindwa kutuma rambi rambi?
Kama mimi ninazidiwa akili na nzi basi wewe akili zako ni mavi.

Iliandikwa wapi kuwa lazima kila mtu ahudhurie msiba wa mtu anemfahamu?

Unafahamu huyo Manji au Mo n.k wapo wapi? Wanafanya nini?

Unafahamu pamoja na Mengi kufa bado maisha ya wengine ibabidi yaende? Unafahamu hao wafanya biashara wana mambo mangapi ya kufuatilia ya muhimu zaidi?

Tatizo watu weusi mnapenda sifa za kipumbavu tu zisizokuwa na tija. Mtu ameshakufa mtu akitoa salamu za rambirambi hata kama sio public basi inatosha. Hata asipotoa haimhusu mtu maana sio lazima.

Maisha lazima yaendelee acheni unafki wa kipumbavu.

Akili mavi kabisa.
 
Azam TV walishiriki kurusha live jana wakati mwili unaingia, na huwezi jua kama walikuwepo lakini hawakutaka kujionesha, ina maana uliona sura za waombolezaji wote?
 
Hapo mi nakukatalia kwenye misiba mikubwa watu wenye ushwishi ktk jamii ni muhimu watokee hata kusaini kitabu cha maombelezo

Back
Top Bottom