MKALIMOTTO
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 136
- 9
Taarifa ya utawala bora iliyotolewa na taasisi ya utafiti ya kimataifa ya Ibrahim Mo imemtaja Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuvunja record ya utawala bora kwa kuiingiza Tanzania kwa mara ya kwanza katika nafasi ya 10 bora kati ya nchi zaidi ya 50 za Africa.
Kati ya nchi hizo, ni Tanzania pekee kwa ukanda wa Afrika mashariki na kati.
My take:
Watanzania tuzitambue na kuthamini juhudi anazozifanya rais wetu kama vile mafanikio ya kujenga barabara zenye urefu wa km 18,000 ndani ya miaka nane tu ikilinganishwa na km 11,000 alizozikuta, daraja la kusini, la kigamboni, mradi wa mabasi yaendayo kasi, reli ya tanga to musoma+bandari ya musoma itakayoanza hivi karibuni, ufumbuzi wa tatizo la umeme, uvumilivu alionao, uhuru wa kutoa maoni bila mipaka, uhodari wa kutatua matatizo kama uchochezi wa wanasiasa n.k. Hata hivyo tusipozitambua juhudi hizo, watu wa mataifa mengine watazitambua na kumpongeza kwa uwazi kabisa.
Tutabaki tunalalamika kuwa Kikwete hivi Kikwete vile lakini ukweli utabaki kuwa J.K is a super president ever happened in TZ.!
huyu ni diaspora kaka anatupotezea tu muda hapa!A wapi danganya wana ccm wenzako wenye akili kama zako hatima yenu iko ukingoni hakuna cha raisi bora analea mafisadi wenzake na kuingia kwenye kumi bora ni danganya toto ili waendelee kuchota rasilimali zetu nakushangaa sana ndugu yangu wewe unaishi Tanzania ipi huoni,husikii yanayoendelea? Na mwisho wa yote umekaribia
Twiga wazima wazima wamesafirishwa,madini wanachota kama ya kwao,mpaka sasa kuna pesa ziko uswis ,kesi ya richmond,iptl,epa,deepgreen,mikataba tata ya madini,tumegawa aridhi kwa agrisol kwa kodi ya tsh 200 kwa mwaka,tumeuza viwanja vya wazi,watoto wa vigogo wanaandaliwa kurihi uongozi......
Nauliza hivi TUNASITAHILI KUWA TOP 10 UTAWALA BORA???
Wakoloni wanapokusifia lazima ujiulize maswali!
Ina maana Mkwerre kamzidi Mwalimu Nyerere kwa utawala bora?
Upumbavu mtupu!
MKALIMOTTO how all these projects are financed? It is possible the next president will inherent huge debts than those taken over by Mwinyi from Nyerere.Taarifa ya utawala bora iliyotolewa na taasisi ya utafiti ya kimataifa ya Ibrahim Mo imemtaja Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuvunja record ya utawala bora kwa kuiingiza Tanzania kwa mara ya kwanza katika nafasi ya 10 bora kati ya nchi zaidi ya 50 za Africa.
Kati ya nchi hizo, ni Tanzania pekee kwa ukanda wa Afrika mashariki na kati.
My take:
Watanzania tuzitambue na kuthamini juhudi anazozifanya rais wetu kama vile mafanikio ya kujenga barabara zenye urefu wa km 18,000 ndani ya miaka nane tu ikilinganishwa na km 11,000 alizozikuta, daraja la kusini, la kigamboni, mradi wa mabasi yaendayo kasi, reli ya tanga to musoma+bandari ya musoma itakayoanza hivi karibuni, ufumbuzi wa tatizo la umeme, uvumilivu alionao, uhuru wa kutoa maoni bila mipaka, uhodari wa kutatua matatizo kama uchochezi wa wanasiasa n.k. Hata hivyo tusipozitambua juhudi hizo, watu wa mataifa mengine watazitambua na kumpongeza kwa uwazi kabisa.
Tutabaki tunalalamika kuwa Kikwete hivi Kikwete vile lakini ukweli utabaki kuwa J.K is a super president ever happened in TZ.!
Tatizo sio utawala wa JK kuwa mzuri ni kwamba Africa wazuri wote hawapo so huyu ana afadhali eti? Sasa hizi nchi nyingine si ni balaa.. But look at sudan, ethiopia, drc, bhagbo, beghazi, tunisia, fall of egypt and qadfi etc.. Hawa ndio watu #- anaoshindana nao