Mo Ibrahim: CCM awamu ya nne yavunja record utawala bora

Mo Ibrahim: CCM awamu ya nne yavunja record utawala bora

Uhuru huo wa vyombo vya habari uko wapi,na huku gazeti la mwanaharisi limefungiwa? dr. ulimboka alitekwa, na kiongozi wa uamsho pia tunaelezwa kafichwa?
 
Uhuru huo wa vyombo vya habari uko wapi,na huku gazeti la mwanaharisi limefungiwa? dr. ulimboka alitekwa, na kiongozi wa uamsho pia tunaelezwa kafichwa?
Osha uhuru wa kupitiliza ni fujo hivyo ni lazima wanaopractise aina hiyo ya uhuru lazima wadhibitiwe.
 
Kwanil huyo Mo Ibrahimu ni mungu? Hakuna cha utawala bora wala nini bongo. Watueleze kwanini wamemteka Ulimboka wamehua mwandishi, utawala bora ni kujenga barabara na madaraja hacheni uhuni na sifa za kijingaaaaa. Sisi watu wa hali ya chini hataona badoo .
 
J.K is a super president ever happened in TZ.!

Super president atakae ondoka na kutuachia deni la taifa trilion 21.6
Barabara za mikopo hatuhitaji. Tunahitaji barabara za almas na dhahabu yetu,mbuga za wanyama na gas yetu.
May almight God take him to hell.
 
Mo Ibrahim ni upumbafu tupu..huwezi msifia kikwete eti kuna utawala bora watu wanakufa kila siku..pumbafu kabisa
Mo Ibrahim hawana kosa jaman msiwahukumu.
Ukiwa na darasa ambalo wa kwanza ana 20/100 ukiambiwa utoe kumi bora huezi kosa.

Enz zangu primary nilikua sikosi kumi bora lakin sikuchaguliwa kwenda form one.
 
Kwani yeye ndio nini???
Kwanza anapajua mabwepande????????
Utumbo wa mwangosi na hali ya mwakyembe aliviona???
Au na yeye ameshapewa mgodi wa uranium kule ruvuma??
 
Taarifa ya utawala bora iliyotolewa na taasisi ya utafiti ya kimataifa ya Ibrahim Mo imemtaja Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuvunja record ya utawala bora kwa kuiingiza Tanzania kwa mara ya kwanza katika nafasi ya 10 bora kati ya nchi zaidi ya 50 za Africa.

Kati ya nchi hizo, ni Tanzania pekee kwa ukanda wa Afrika mashariki na kati.

My take:
Watanzania tuzitambue na kuthamini juhudi anazozifanya rais wetu kama vile mafanikio ya kujenga barabara zenye urefu wa km 18,000 ndani ya miaka nane tu ikilinganishwa na km 11,000 alizozikuta, daraja la kusini, la kigamboni, mradi wa mabasi yaendayo kasi, reli ya tanga to musoma+bandari ya musoma itakayoanza hivi karibuni, ufumbuzi wa tatizo la umeme, uvumilivu alionao, uhuru wa kutoa maoni bila mipaka, uhodari wa kutatua matatizo kama uchochezi wa wanasiasa n.k. Hata hivyo tusipozitambua juhudi hizo, watu wa mataifa mengine watazitambua na kumpongeza kwa uwazi kabisa.

Tutabaki tunalalamika kuwa Kikwete hivi Kikwete vile lakini ukweli utabaki kuwa J.K is a super president ever happened in TZ.!

UNADHANI JK NI MBAYA PER SE, SIO, MAENEO MENGINE YUKO FIT KINOMA, ILA NI DHAIFU, amecheza na ngedere SASA anakula mabua.
 
Lakini hao hao MO IBRAHIM wamesema mwaka huu hakuna nchi ama kiongozi atakae pata tuzo kwasababu hakuna aliefikia vigezo vyao..kwahiyo bwana zumbukuku kutuingiza top 10 ni blah blah tu hamna kitu hapo

si atapewa akimaliza muda wake, huwa hawapewi wakiwa bado madarakani.
 
hizo barabara unazosema kumbuka kuwa hazijakamilika, subiri zikamilike 2jue gharama zitakazozidi kutokana kuanzisha miradi mingi kisiasa bila kuwa uwezo wa kulipa makandaras kwa wakati, hapo ndo 2tajua tumsifu au vipi.
km ni kuanzisha tu bila kujali itaisha kwa hasara au faida hata waliomtangulia wangeweza kuanzisha km laki1
 
Kwani yeye ndio nini???
Kwanza anapajua mabwepande????????
Utumbo wa mwangosi na hali ya mwakyembe aliviona???
Au na yeye ameshapewa mgodi wa uranium kule ruvuma??

zamani tuzo ilikuwa inatafuta watu, siku hizi inakampeniwa!!
 
Back
Top Bottom