kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,057
- 16,736
- Thread starter
- #41
Sio mo anaisaidia Simba na Simba inamsaidia mo pia (symbiosis). Yanga alitoka Abbas Gulamali akaja Manji Yusuf na Manji aliondoka akaja GSM. Hata mo akiondoka atakuja tajiri mwingine, usihofu aloo. Shida inaweza kuwepo kwa muda mfupi tu kabla ya kumpata kibopa mwingine msua zaidi.Bila MO simba ni sawa na Maji Maji