fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,503 Reaction score 27,812 Dec 25, 2023 #81 mtu kama huyu anaweza akadanganywa afu ata tako akatoa
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 13,034 Reaction score 38,492 Dec 25, 2023 #82 Albosignathus said: Nasomesha mkuu.Watoto 5 wote private Click to expand... Aiseee pole, kusomesha ni wajibu lakini kuwapeleka private sio chaguo sahihi.
Albosignathus said: Nasomesha mkuu.Watoto 5 wote private Click to expand... Aiseee pole, kusomesha ni wajibu lakini kuwapeleka private sio chaguo sahihi.
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,573 Reaction score 16,360 Dec 25, 2023 #83 Kwamba sasa Mwamedi ameenda kuoa Uyole hadi awe na connection na akina Mwakasagule? Pole sana ila baridi kuna mwana anakula pilau muda huu kwa hela yako.
Kwamba sasa Mwamedi ameenda kuoa Uyole hadi awe na connection na akina Mwakasagule? Pole sana ila baridi kuna mwana anakula pilau muda huu kwa hela yako.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,161 Reaction score 27,301 Dec 25, 2023 #84 Albosignathus said: Habari! Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu. ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747. Click to expand... Kama hauamini kuwa Mo Foundation ilikuwa haitoi mikopo, muulize Kigwangwala kama alifanikiwa kupata pikipiki
Albosignathus said: Habari! Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu. ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747. Click to expand... Kama hauamini kuwa Mo Foundation ilikuwa haitoi mikopo, muulize Kigwangwala kama alifanikiwa kupata pikipiki
dem boyz JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 7,408 Reaction score 17,044 Dec 25, 2023 #85 Albosignathus said: Habari! Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu. ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747. Click to expand... wenzio sie SSC tumepigwa cha la macho b20 zetu hatujui atatupa lini au ndo katudhulumu hatuna hamu nae huyo mwamedi TAPELI
Albosignathus said: Habari! Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu. ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747. Click to expand... wenzio sie SSC tumepigwa cha la macho b20 zetu hatujui atatupa lini au ndo katudhulumu hatuna hamu nae huyo mwamedi TAPELI
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,644 Reaction score 14,809 Dec 25, 2023 #86 My people perish because of the lack of knowledge not because of sin and devil. Elimu Elimu Elimu.