Mo Foundation ni Matapeli namba yangu ila

[emoji81][emoji81][emoji81]mkuu njoo Pm uni tumie 50k nkurudishie huo muhamala
 
Duh mtu kajiunga jf 2013 lakini anatapeliwa kiboya sana, mtu anayetumia jf huwa naamini kuwa yuko vizuri kwa kichwa chake, sasa wewe mkongwe kulikoni!?
 
Attachments

  • Screenshot_20231225-120057~2.png
    84.1 KB · Views: 13
Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.

ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Pole sana brother, umewapa watu hela ya sikukuu. Hao jamaa hata hawana uhusiano na Mo Dewji Foundation, ni wapambanaji tu wanatafuta pesa kwa wajinga kama wewe. Pole sana, ila next time usitume tena pesa kizembe namna hiyo kabla hujajiridhisha kwa asilimia 100.
 
Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.

ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Utapeli wake ni upi wakati Wizara ilishatangaza kuwa hiyo Foundation imeshafutwa baada ya yenyewe kuomba kufutwa.
Nashangaa hata Simba hadi leo wamenabandikwa Matakoni wakati Foundation ilishakufa.

Hii Nchi bhana tunawalaumu vijana wetu kwa kupigwa wakati vyombo vinavyotakiwa kutoa taarifa za matapeli vipo kimya...
 
Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.

ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Mo hakopeshi mzee sidhani kama hiyo foundation inahusu mikopo , ni watu wachache wanatumia Jina lake na picha yake kutapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…