ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Kwa muonekano ni kama fridge zingine sema hizi zina nembo ya Mohammed Dewji.
Kweli wengi wanatengezea China but quality huwa tofauti so sina uhakika na hizi fridge zao kama zinasumbua ingawa wanatoa warranty. Sina uhakika na Cookers zao coz wanatengezea TurkeyMafridge yote ni sawa tuuu. Ni kwamba kila mtu anaweka brand yake. Ila ndo hayohayo chines
Vrou van samaria give me bit of water to drink
Kweli wengi wanatengezea China but quality huwa tofauti so sina uhakika na hizi fridge zao kama zinasumbua ingawa wanatoa warranty. Sina uhakika na Cookers zao coz wanatengezea Turkey
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli yeye ni agent lakini hakuna uhusiano na product zake coz hizi anatengezesha China na kuweka brand yake wakati LG wanatengeza wenyewe na kumtumia MO kama dealer wao kwenye mauzo yaoMo ni Agent wa LG kwa hapa Tanzania. Kuna ufanano mkubwa kati ya LG brands, na hizi Mo electro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuu,Ni kweli yeye ni agent lakini hakuna uhusiano na product zake coz hizi anatengezesha China na kuweka brand yake wakati LG wanatengeza wenyewe na kumtumia MO kama dealer wao kwenye mauzo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa asante mkuuWell said mkuu,
Kama una uwezo wa ku afford LG fridge ni vyema ukanunua haya, sio mtaalamu sana wa mafridge ila nafahamu kuna jamaa zangu wamenunua LG fridge toka kwa mo yapo vizuri miaka mingi tu.
Huwa siku zote siamini vitu vya ku rebrand maana vingi hutengenezwa vichochoroni tu.