MO Dewji: Tangu mwaka 2018 nimewekeza Bilioni 87 Simba SC

Mo ni mbabaishaji namba 1 ndani ya Simba,namba 2 Magungu,namba 3 kamati ya usajili,namba 4 mpayukaji Ahmed Ally
Ahmed Ally anakwambia streka tutakayemleta atahamisha bahari kwenda Morogoro 😀.......ila jamaa anawajaza sana
 
Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (Mo), amesema dhamira yake ya kuijenga Simba kuwa klabu bora barani Afrika haijabadilika, huku akibainisha kuwa tayari amewekeza zaidi ya Sh bilioni 87 ndani ya klabu hiyo tangu mwaka 2017.

Akizungumza kwa njia ya video leo jijini Dar es Salaam, Mo Dewji amesema licha ya changamoto mbalimbali za msimu uliopita, Simba imeonyesha uimara mkubwa na kufikia mafanikio ya kihistoria, ikiwemo kucheza fainali za CAF mara mbili - jambo ambalo halijawahi kufanywa na klabu nyingine kutoka Tanzania.

"Simba bado ipo kwenye hatua ya ujenzi. Roho ya ushindi haijawahi kuyumba. Tunajipanga upya kwa msimu ujao na kipaumbele kitakuwa kwenye usajili wa kimkakati na kuimarisha benchi la ufundi," amesema Mo.

Ameongeza kuwa mbali na uwekezaji wa mishahara, maandalizi ya timu na matumizi ya uendeshaji, pia ametoa mabilioni kama msaada wa dharura kwa klabu, jambo ambalo halipaswi kupotoshwa au kubezwa.

"Tangu mwaka 2017 hadi sasa, nimetumia Sh bilioni 22 kwa mahitaji ya dharura pekee. Kauli kwamba Mo haitoi hela ni upotoshaji wenye malengo ya chuki," alisisitiza.

Mo pia ametoa wito kwa wanachama na mashabiki wa Simba kuachana na maneno ya chuki na badala yake wajikite katika mshikamano, kushirikiana na kujenga klabu kwa pamoja.

"Nimewekeza muda, jasho, damu na fedha Simba. Sio kwa sababu nyingine, bali kwa mapenzi ya dhati kwa klabu hii na kwa taifa letu. Doto yangu haijabadilika," amesema.
huyu ni kama mbowe wa simba, kuwekeza anapenda ila wakati huo huo analalamika kuwa anawekeza pesa nyingi simba, ukimwambia atoke wawekezaji wengine waje anakuwa mgumu. atawanyanyasia hizo bilioni themanini na ngapi sijui na atazikata. mbowe alikuwa anajifanya katoa pesa yake ikija ya chama akafyeka kuwa anafidia. hata hivyo makolo mshukuruni hivyo hivyo mngekuwa wapi bila yeye, nani atawekeza litimu libovu hilo? (kidding).
 
MO ni mnyonyaji halafu hata kama ni tajiri ni among the low IQ people.
Ukimsikiliza kwa makini analazimisha umuhimu na inaonekana yeye ndo anaisaidia simba (one way) kila siku anataja matumizi (expenditures) hajawahi kusema hata siku moja Simba imemuingizia shiling ngapi (income au revenue)

Katika hali ya kawaida ni mfanyabiashara gani atafanya biashara zaidi ya miaka mi 5 kwa hasara?the guy is so naive anatuona sijui mazuzu sisi

Hebu na nyie basi waandishi muwe professional hebu muulizeni simba imemuingia Tsh hadi leo?
Faida yoyote ile duniani una calculate kwa kuchukua
Mapato(income au sales) kutoa au unalinganisha na matumizi(matching principle)

Club kubwa kama simba lazima iingize mapato makubwa kuliko matumizi asituchezee
Ni wazi biashara ya uwekezaji wake Simba inamlipa otherwise angeshaacha. Hakuna mhindi anaefanya biashara ya hasara abadan.
 
MO ni mnyonyaji halafu hata kama ni tajiri ni among the low IQ people.
Ukimsikiliza kwa makini analazimisha umuhimu na inaonekana yeye ndo anaisaidia simba (one way) kila siku anataja matumizi (expenditures) hajawahi kusema hata siku moja Simba imemuingizia shiling ngapi (income au revenue)

Katika hali ya kawaida ni mfanyabiashara gani atafanya biashara zaidi ya miaka mi 5 kwa hasara?the guy is so naive anatuona sijui mazuzu sisi

Hebu na nyie basi waandishi muwe professional hebu muulizeni simba imemuingia Tsh hadi leo?
Faida yoyote ile duniani una calculate kwa kuchukua
Mapato(income au sales) kutoa au unalinganisha na matumizi(matching principle)

Club kubwa kama simba lazima iingize mapato makubwa kuliko matumizi asituchezee
Mkuu wafanyabiashara wanatajaga hasara tu na siyo faida wanayopata.
 
huyu ni kama mbowe wa simba, kuwekeza anapenda ila wakati huo huo analalamika kuwa anawekeza pesa nyingi simba, ukimwambia atoke wawekezaji wengine waje anakuwa mgumu. atawanyanyasia hizo bilioni themanini na ngapi sijui na atazikata. mbowe alikuwa anajifanya katoa pesa yake ikija ya chama akafyeka kuwa anafidia. hata hivyo makolo mshukuruni hivyo hivyo mngekuwa wapi bila yeye, nani atawekeza litimu libovu hilo? (kidding).
Anawapumbaza kwa kauli ya Simba guvu moyaaa! matokeo yake hawachangii ili hela ziwe nyingi atakaposema timu ni yake washindwe kuzilipa kwa muda alio kubaliana, hiyo transformation gani ,inachukua miaka 8, mabadiliko gani ya kimuundo wa ubia unachukua miaka Hadi 8 ?, Mauzo ya matanganzo ya bidhaa za simba sc hayoko wazi ?
 
Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (Mo), amesema dhamira yake ya kuijenga Simba kuwa klabu bora barani Afrika haijabadilika, huku akibainisha kuwa tayari amewekeza zaidi ya Sh bilioni 87 ndani ya klabu hiyo tangu mwaka 2017.

Akizungumza kwa njia ya video leo jijini Dar es Salaam, Mo Dewji amesema licha ya changamoto mbalimbali za msimu uliopita, Simba imeonyesha uimara mkubwa na kufikia mafanikio ya kihistoria, ikiwemo kucheza fainali za CAF mara mbili - jambo ambalo halijawahi kufanywa na klabu nyingine kutoka Tanzania.

"Simba bado ipo kwenye hatua ya ujenzi. Roho ya ushindi haijawahi kuyumba. Tunajipanga upya kwa msimu ujao na kipaumbele kitakuwa kwenye usajili wa kimkakati na kuimarisha benchi la ufundi," amesema Mo.

Ameongeza kuwa mbali na uwekezaji wa mishahara, maandalizi ya timu na matumizi ya uendeshaji, pia ametoa mabilioni kama msaada wa dharura kwa klabu, jambo ambalo halipaswi kupotoshwa au kubezwa.

"Tangu mwaka 2017 hadi sasa, nimetumia Sh bilioni 22 kwa mahitaji ya dharura pekee. Kauli kwamba Mo haitoi hela ni upotoshaji wenye malengo ya chuki," alisisitiza.

Mo pia ametoa wito kwa wanachama na mashabiki wa Simba kuachana na maneno ya chuki na badala yake wajikite katika mshikamano, kushirikiana na kujenga klabu kwa pamoja.

"Nimewekeza muda, jasho, damu na fedha Simba. Sio kwa sababu nyingine, bali kwa mapenzi ya dhati kwa klabu hii na kwa taifa letu. Doto yangu haijabadilika," amesema.
Huu Ujinga ndio alisema ana breaking news au kaongea na mengine ndugu zangu maana sitaki hata kumsikiliza huyu KISHOKA anakwaza Sana. Speech zake kila mwisho wa MSIMU ni pesa Pesa Pesa wenzio akina Bakhresa wanatoa pesa na club ina low profile lakini haongei huyu anayejiita kijana tajiri mwenye miaka 50 ( nazani India mtu mwenye hiyo miaka ni kijana huku kwetu ni kibabu) kapata Timu yenye brand kubwa anapiga hela daily mayowe.

Mo atoe Pesa brand ya Timu ipae na yeye atapiga pesa. Simba kila Mwaka inakusanya pesa za kutosha lakini kila akikaa mbele ya public nimetoa pesa Kwani haya Mabilion ya Jayrutty, CAFCC, Gate Collection mbona hayatajwi. Ahoua hadi sasa kazeeka Kwa kubeba Ng'ombe wake kila sehem ya Jersey ni MOOOOO. Mchezaji anakuja Simba kucheza Mpira yeye Kwa faida yake binafsi anawabebesha Ng'ombe ndio maana Ngoma kaondoka kachoka hayo yote na bado na mashabiki tunazunguka na Ng' ombe wake, Visima vya MAJI, Miti ya matunda ya Juisi n.k lakini MWAMBA bado hapati faida.....
Mo akubali tu kuwa anavuna zaidi anavyopanda ndio maana akitokea mtu anataka timu anaweka ngumu hata transformation yeye ndio tatizo maana inatakiwa hizo shares zake wawe watatu (3) Kwa Roho ya pesa ya Boss wetu anabana.
MO WEKA PESA ACHA MANENO UWEKEZAJI NI PESA SIO STORI KAMA HUKUJIPANGA MWAGA MOTO.
 
Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (Mo), amesema dhamira yake ya kuijenga Simba kuwa klabu bora barani Afrika haijabadilika, huku akibainisha kuwa tayari amewekeza zaidi ya Sh bilioni 87 ndani ya klabu hiyo tangu mwaka 2017.

Akizungumza kwa njia ya video leo jijini Dar es Salaam, Mo Dewji amesema licha ya changamoto mbalimbali za msimu uliopita, Simba imeonyesha uimara mkubwa na kufikia mafanikio ya kihistoria, ikiwemo kucheza fainali za CAF mara mbili - jambo ambalo halijawahi kufanywa na klabu nyingine kutoka Tanzania.

"Simba bado ipo kwenye hatua ya ujenzi. Roho ya ushindi haijawahi kuyumba. Tunajipanga upya kwa msimu ujao na kipaumbele kitakuwa kwenye usajili wa kimkakati na kuimarisha benchi la ufundi," amesema Mo.

Ameongeza kuwa mbali na uwekezaji wa mishahara, maandalizi ya timu na matumizi ya uendeshaji, pia ametoa mabilioni kama msaada wa dharura kwa klabu, jambo ambalo halipaswi kupotoshwa au kubezwa.

"Tangu mwaka 2017 hadi sasa, nimetumia Sh bilioni 22 kwa mahitaji ya dharura pekee. Kauli kwamba Mo haitoi hela ni upotoshaji wenye malengo ya chuki," alisisitiza.

Mo pia ametoa wito kwa wanachama na mashabiki wa Simba kuachana na maneno ya chuki na badala yake wajikite katika mshikamano, kushirikiana na kujenga klabu kwa pamoja.

"Nimewekeza muda, jasho, damu na fedha Simba. Sio kwa sababu nyingine, bali kwa mapenzi ya dhati kwa klabu hii na kwa taifa letu. Doto yangu haijabadilika," amesema.
Kamaa anawasimanga sana Simba, sijyi walimkosea nini? Simba wajishushe tu wakae naye chini waongee wayamalize.

Kumbe anaifadhili kwa mapenzi tu, lakini kiuhalisia hakuna biashara pale yaani ni hasara tu.
 
Utoh hamna akili kabisa.......hii hotuba inawahusu wanasimba....chakushangaza utoh mmepaniniki cjui Kwa nini.....hamkutaka aongee alichoongea???? UTOH wakupuuzwa.....
 
Wajinga kama nyingi ndio mtaji wa mo
 
Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (Mo), amesema dhamira yake ya kuijenga Simba kuwa klabu bora barani Afrika haijabadilika, huku akibainisha kuwa tayari amewekeza zaidi ya Sh bilioni 87 ndani ya klabu hiyo tangu mwaka 2017.

Akizungumza kwa njia ya video leo jijini Dar es Salaam, Mo Dewji amesema licha ya changamoto mbalimbali za msimu uliopita, Simba imeonyesha uimara mkubwa na kufikia mafanikio ya kihistoria, ikiwemo kucheza fainali za CAF mara mbili - jambo ambalo halijawahi kufanywa na klabu nyingine kutoka Tanzania.

"Simba bado ipo kwenye hatua ya ujenzi. Roho ya ushindi haijawahi kuyumba. Tunajipanga upya kwa msimu ujao na kipaumbele kitakuwa kwenye usajili wa kimkakati na kuimarisha benchi la ufundi," amesema Mo.

Ameongeza kuwa mbali na uwekezaji wa mishahara, maandalizi ya timu na matumizi ya uendeshaji, pia ametoa mabilioni kama msaada wa dharura kwa klabu, jambo ambalo halipaswi kupotoshwa au kubezwa.

"Tangu mwaka 2017 hadi sasa, nimetumia Sh bilioni 22 kwa mahitaji ya dharura pekee. Kauli kwamba Mo haitoi hela ni upotoshaji wenye malengo ya chuki," alisisitiza.

Mo pia ametoa wito kwa wanachama na mashabiki wa Simba kuachana na maneno ya chuki na badala yake wajikite katika mshikamano, kushirikiana na kujenga klabu kwa pamoja.

"Nimewekeza muda, jasho, damu na fedha Simba. Sio kwa sababu nyingine, bali kwa mapenzi ya dhati kwa klabu hii na kwa taifa letu. Doto yangu haijabadilika," amesema.

je, unadhani Mo ameingiza kiasi gani tangu 2018?
51% mwaka huu watapelekwa kolokoloni kwa haya madeni...imagine MANGUNGU na wenzie akina GB64 watazilipaje hizo b67 za mkopo
 
Back
Top Bottom