MO Dewji: Tangu mwaka 2018 nimewekeza Bilioni 87 Simba SC

MO Dewji: Tangu mwaka 2018 nimewekeza Bilioni 87 Simba SC

MO ni mnyonyaji halafu hata kama ni tajiri ni among the low IQ people.
Ukimsikiliza kwa makini analazimisha umuhimu na inaonekana yeye ndo anaisaidia simba (one way) kila siku anataja matumizi (expenditures) hajawahi kusema hata siku moja Simba imemuingizia shiling ngapi (income au revenue)

Katika hali ya kawaida ni mfanyabiashara gani atafanya biashara zaidi ya miaka mi 5 kwa hasara?the guy is so naive anatuona sijui mazuzu sisi

Hebu na nyie basi waandishi muwe professional hebu muulizeni simba imemuingia Tsh hadi leo?
Faida yoyote ile duniani una calculate kwa kuchukua
Mapato(income au sales) kutoa au unalinganisha na matumizi(matching principle)

Club kubwa kama simba lazima iingize mapato makubwa kuliko matumizi asituchezee
Huwa hakutani na waandishi.
Huwa anakaa ndani kwake huko Dubai, then anakuja kutubwatukia.
 
Back
Top Bottom