huja
elewa kitu mgosi.
MO, hiyo jana ali-tweet kwamba, "shirika la umoja wa mataifa la mazingira" UNEP imepitisha na kubariki mradi wa bwawa lwa umeme la STIGLERS GORGE, kitu ambacho kigogo2014 baada ya muda mfupi ali kire-tweet akamwambia mo amekuwa mwongo na anajipendekeza, na anasahau watu wa mitandaoni ndio walimuokoa maana alikuwa akapigwe "paip"
baada ya mda mfupi, UNEP makao makuu yapo nairobi, wakainyaka, wakajibu na kusema hawajabariki huo mradi na wala hawatakaa kuubariki maana unaharibu sana mazingira.
MO ndio kujikosha akaanza kumuomba Maria Sarungi msamaha.
hii nchiina wanafki sana, haka kajamaa kalitekwa na waliomteka na kukaa naye siku zaidi ya nne kanawajua alafu kanawasifia tena, njaa kama za makonda tunaelew, ila MO una njaa gani mdogo wangu?