MO Dewji aomba msamaha sakata la kutekwa kwake

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Tweet ya Mo Dewji iliyosema " Watanzania watofautishe maisha halisi na maisha ya mitandaoni" iliuzu mjadala mitandaoni siku ya leo.

Maria Sarungi akamamuuliza...." sakata la kutekwa kwako lilikuwa la mitandaoni au halisi? Tutaelewana tu"

Kisha MO akatubu kwa kusema " samahani dada yangu umenielewa nje ya context yangu. Nawashukuru wote walionitafuta na kunisemea"

Source ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa mtazamo wako hii kauli 'samahani dada yangu umenielewa nje ya context yangu. Nawashukuru wote walionitafuta na kunisemea" ndio kuomba msamaha kwa sakata lake la kutwekwa?:)
Nimeileta kama nilivyoikuta kwa ayo.

Msamaha anaombwa yeyote au ulidhani ni wanasiasa tu?!
 
huja
Tweet ya Mo Dewji iliyosema " Watanzania watofautishe maisha halisi na maisha ya mitandaoni" iliuzu mjadala mitandaoni siku ya leo.

Maria Sarungi akamamuuliza...." sakata la kutekwa kwako lilikuwa la mitandaoni au halisi? Tutaelewana tu"

Kisha MO akatubu kwa kusema " samahani dada yangu umenielewa nje ya context yangu. Nawashukuru wote walionitafuta na kunisemea"

Source ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
elewa kitu mgosi.

MO, hiyo jana ali-tweet kwamba, "shirika la umoja wa mataifa la mazingira" UNEP imepitisha na kubariki mradi wa bwawa lwa umeme la STIGLERS GORGE, kitu ambacho kigogo2014 baada ya muda mfupi ali kire-tweet akamwambia mo amekuwa mwongo na anajipendekeza, na anasahau watu wa mitandaoni ndio walimuokoa maana alikuwa akapigwe "paip"
baada ya mda mfupi, UNEP makao makuu yapo nairobi, wakainyaka, wakajibu na kusema hawajabariki huo mradi na wala hawatakaa kuubariki maana unaharibu sana mazingira.

MO ndio kujikosha akaanza kumuomba Maria Sarungi msamaha.

hii nchiina wanafki sana, haka kajamaa kalitekwa na waliomteka na kukaa naye siku zaidi ya nne kanawajua alafu kanawasifia tena, njaa kama za makonda tunaelew, ila MO una njaa gani mdogo wangu?
 
Labda ayo ndio hajaelewa bwashee!
 
Mohamed akipata hela huitwa MO
John akipata Rungu ataitwa ...........
 
huja

elewa kitu mgosi.

MO, hiyo jana ali-tweet kwamba, "shirika la umoja wa mataifa la mazingira" UNEP imepitisha na kubariki mradi wa bwawa lwa umeme la STIGLERS GORGE, kitu ambacho kigogo2014 baada ya muda mfupi ali kire-tweet akamwambia mo amekuwa mwongo na anajipendekeza, na anasahau watu wa mitandaoni ndio walimuokoa maana alikuwa akapigwe "paip"
baada ya mda mfupi, UNEP makao makuu yapo nairobi, wakainyaka, wakajibu na kusema hawajabariki huo mradi na wala hawatakaa kuubariki maana unaharibu sana mazingira.

MO ndio kujikosha akaanza kumuomba Maria Sarungi msamaha.

hii nchiina wanafki sana, haka kajamaa kalitekwa na waliomteka na kukaa naye siku zaidi ya nne kanawajua alafu kanawasifia tena, njaa kama za makonda tunaelew, ila MO una njaa gani mdogo wangu?
Aliniudhi sana siku yetu ya Simba Day eti Ma......fuli hoyeeeee! Japo ni mfadhili wa timu yangu nilimdharau siku ile hadi leo! Atambua kuwa kelele za akina Lema, Zitto na watu wa mitandaoni ndizo ziliwashtua wasiojulikana hadi kumwachia na kunywa naye chai.
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Kwa tabia yake na mwenendo wake wa sasa akitekwa hakuna wa kumpigania tena, maana kujipendekeza kumezidi mno hadi anakera.
 
Kwa mtazamo wako hii kauli 'samahani dada yangu umenielewa nje ya context yangu. Nawashukuru wote walionitafuta na kunisemea" ndio kuomba msamaha kwa sakata lake la kutwekwa?:)
Ndiyo, kumbuka nini kilitangulia kusemwa na Maria Sarungi? Alimuuliza, sakata la kutekwa kwake lilikuwa ni la mitandaoni au halisi? ndipo kaomba msamaha. Kwa hiyo ni halali kabisa kwamba ameomba msamaha kwa sakata lake la kutekwa. MO kazidi kuboa na kukera kwa jinsi anavyojipendekeza. Kumbuka alimsaidia hela kidogo ya matibabu TL ndo katekwa kwa kigezo kwamba kwa nini aseme anamsaidia home boy mwenzake? Tunajua kila kitu. Nasikia leo hataki hata kumjulia hali TL ambaye wanatoka sehemu moja SGDA.
 
Back
Top Bottom