Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Nibebe FC washamgeuka tayari.Mlipeni 1.4 billion anazodai
Nibebe FC washamgeuka tayari.Mlipeni 1.4 billion anazodai
cc; manjilkn Moo kawasaidia sana wana simba tuzunguke kooote,, jamaa kawatoa mbali.,, Mlipaswa walau mumshirikishe,,!! MO ndo ujifunze sku nyingine kumfadhili mwafrika, hana shukran hata sku moja...!!
Duh, uelewa wako finyu sanaSimba sio ya mtu mmoja kama unavyofikiri!
kulipa mshahara wachezaji sio ndio kumilikishwa timu, mwambie simba sc ni zaidi ya Tsh bilion 1
ukumbuke simba inawenyewe ndio maana muda wote analialia anataka haki miliki kamili kwa sasa hana uwezo wa kuzuia simba kuingia mkataba na sportpesa
Mchumba?mahari hairudishwi yeye pia c kamtumia uyo mwanamke hahahahaha
Akili huna!Duh, uelewa wako finyu sana
Mikia?Akili huna!
Kaa mbali na nyuzi za wanaume