Mo Dewij wacha kulalama, anzisha timu yako

Mo Dewij wacha kulalama, anzisha timu yako

View attachment 509325
Mkuu acha kupotosha habari, nenda acc ya tweeter au Insta ametoa habari hii officially
Screenshot_2017-05-14-19-25-52.png


Wapi kasema arudishiwe alicho-support? Katoeni maji bondeni kule na mumsaidie teja wenu.
 
Mo anapenda kitonga..kama kanjibai mwenzie wa yanga.. yaani timu kubwa kama simba uichukue kama unanunua bodaboda..?
 
Mulivyokua na shida Mwanzo mulimuona wa maana Leo munamwambia akaanzishe yake ,ama kwel heri umfadhir punda
 
Kiukweli jamaa ameisaidia sana Timu yetu mpaka hapa tulipofikia, tukikosa na hiyo FA tarehe 28 TUSUBIRIE MAKUBWA......
 
Anataka ashirikishwe kama nani kwenye timu?

Zaidi yeye aangalie ya kwake tu na sio kuipangia timu nani wa kuidhamini!
Mkuu kwenye mkutano wa mabadiliko mlikubaliana baada ya msimu kuisha ,mtageuza simba kuwa ya kisasa na shares zitauzwa na mlikubaliana na Mo kuwa atanunua baadhi ya shares kwa 20Billion

Sasa Leo hii mkiingia mkataba na sportspesa na mutiliane saini kandamizi ambayo labda maslahi ni machache atakubali vipi atoe hizo 20Billions..labda angeshirikishwa angetoa mawazo chanya na huenda dau ya sports pesa ingekuwa kubwa zaidi

20Billions ipo rehani hakafu muwekeane saini ,ah halafu akinunua hizo hisa na baadae sports pesa wakigeuka kuwa jipu?
 
Ifahamike Mo no tajiri wa kwanza Tanzania sasa mambo ya kulalama kisa Simba ni sawa na kutaka kumuoa msichana wakati wazee wake hawakuhitaji ila tu inafarijika kwa kuona ndugu zake na mashoga zake wanakusapoti .Ombi langu kwake aanzishe timu yake.
 
kenya ijiproud kutoka sportpesa inapata nini chamno!
mengi mno. kando na advertisement ambayo Simba FC itakuwa inatupatia, pesa zenu mutakazoliwa za kamari zote zinakuja nyumbani kusaidia katika miradi tofauti tofauti. tumekuja kuvuna pesa
 
Back
Top Bottom