Mo Dewij wacha kulalama, anzisha timu yako

mengi mno. kando na advertisement ambayo Simba FC itakuwa inatupatia, pesa zenu mutakazoliwa za kamari zote zinakuja nyumbani kusaidia katika miradi tofauti tofauti. tumekuja kuvuna pesa
Itakupatia kwa njia gani zaid ya wewe pia kubet na kuliwa!?

Simba sie tushavuta cheti hayo ya kamali mnajua nyie huko
 
Hv unajua maana ya mkataba?au hujawahi fanya mambo ya mikataba?ss usiwe pumbavu uliza watu wakusaidie ,hararamiki anasema mkataba haukufuatwa umekiukwa shida iko hapo jifunze.
 
Itakupatia kwa njia gani zaid ya wewe pia kubet na kuliwa!?

Simba sie tushavuta cheti hayo ya kamali mnajua nyie huko
mi nashukuru nabet mara moja au mbili kwa wiki. uzuri naweke kitita cha pesa kwa game niko na uhakika nayo. navuna pesa za kutosha za kuniwezesha kula nyama na beer kila siku. asante
 
_20170514_165614.JPG

Kuna mtu jana alimshauri kama wewe
 
mi nashukuru nabet mara moja au mbili kwa wiki. uzuri naweke kitita cha pesa kwa game niko na uhakika nayo. navuna pesa za kutosha za kuniwezesha kula nyama na beer kila siku. asante
Kama unamyooosha saaafi!

Maana sio wa kumuonea huruma kabisa
 
Juzi baada ya simba kuingia mkataba na kampuni ya SportPesa kutoka kenya, leo Mo dewij kaibuka upya

Kutokana na kwamba Dewij sio mgeni wa vilabu na soka la Tanzania, bila shaka drama za simba na yanga anazifahamu vizuri

Hivyo kitendo chake cha kulalama na kuidai simba Sc club pesa aliyokuwa kaiwekeza ni kujidhalilisha yeye mwenyewe kama bilionair kijana Tanzania na Afrika!

Mo wacha kulalama, ni wakati wako sasa uanzishe timu yako na sio ununue!
kwa utaratibu wako huu hufai hata kuidhamini singida united cha kufanya anzisha timu yako tu

Simba hatuhitaji kurudi nyuma kuanza kuzungusha bakuli tena tunahitaji sponsership, watu wawekeze kwa mikataba soka lichezwe watu wapige hela tu

Tumekuchokeni wewe na Manji mnauwezo mkubwa kipesa hivyo mnaweza kuanzisha vilabu vyenu vya soka na mkapiga hela sio kila siku simba na yanga tu
Nimepata shida sana kuelewa mantiki ya ulichoandika. Ila nimeamini 'mswahili' haaminiki.
 
Hawa sportpesa wanataka kui Hull city mbumbumbu fc hivihivi, wameikuta Hull City kwenye ligi wameishusha tena, nyinyi mwakani hata top 5 hamtakuwepo pamoja na hivyo visenti vyenu kutoka Machakosi.
 
Hull City ilikuwa katika daraja la pili msimu uliopita kabla kukutana na Sportpesa. Hull City ikishushwa daraja haimaanishi kua eti Sportpesa ndio waliingia uwanjani kucheza. wajilaumu wenyewe
 
Nafikiri unetoa ya moyon mwako lakin je unajua mkataba wa awali wa mi na simba upoje au ndo hasira za kutakiwa mrudishe chake ko umepaniki think critically usikurupuke
 
Juzi baada ya simba kuingia mkataba na kampuni ya SportPesa kutoka kenya, leo Mo dewij kaibuka upya

Kutokana na kwamba Dewij sio mgeni wa vilabu na soka la Tanzania, bila shaka drama za simba na yanga anazifahamu vizuri

Hivyo kitendo chake cha kulalama na kuidai simba Sc club pesa aliyokuwa kaiwekeza ni kujidhalilisha yeye mwenyewe kama bilionair kijana Tanzania na Afrika!

Mo wacha kulalama, ni wakati wako sasa uanzishe timu yako na sio ununue!
kwa utaratibu wako huu hufai hata kuidhamini singida united cha kufanya anzisha timu yako tu

Simba hatuhitaji kurudi nyuma kuanza kuzungusha bakuli tena tunahitaji sponsership, watu wawekeze kwa mikataba soka lichezwe watu wapige hela tu

Tumekuchokeni wewe na Manji mnauwezo mkubwa kipesa hivyo mnaweza kuanzisha vilabu vyenu vya soka na mkapiga hela sio kila siku simba na yanga tu
Unawekeza sehemu unaona utapata pesa

Amenunua hisa za kilabu kwa 51% lzm ahusishwe sema watanzania wanapapalika hupenda walidhani wakichelewa dili watapewa yanga
 
ahahahah
kwaiyo ametumia bilion 1.4 kununua hisa yote hiyo?
 
Juzi baada ya simba kuingia mkataba na kampuni ya SportPesa kutoka kenya, leo Mo dewij kaibuka upya

Kutokana na kwamba Dewij sio mgeni wa vilabu na soka la Tanzania, bila shaka drama za simba na yanga anazifahamu vizuri

Hivyo kitendo chake cha kulalama na kuidai simba Sc club pesa aliyokuwa kaiwekeza ni kujidhalilisha yeye mwenyewe kama bilionair kijana Tanzania na Afrika!

Mo wacha kulalama, ni wakati wako sasa uanzishe timu yako na sio ununue!
kwa utaratibu wako huu hufai hata kuidhamini singida united cha kufanya anzisha timu yako tu

Simba hatuhitaji kurudi nyuma kuanza kuzungusha bakuli tena tunahitaji sponsership, watu wawekeze kwa mikataba soka lichezwe watu wapige hela tu

Tumekuchokeni wewe na Manji mnauwezo mkubwa kipesa hivyo mnaweza kuanzisha vilabu vyenu vya soka na mkapiga hela sio kila siku simba na yanga tu
Kwahiyo hela ya mishahara aliyokuwa anawakopesha asidai au?
 
Back
Top Bottom