hivi vitu vishalegea saaana! vilishikizwa tu but MO atalipa
Pumbafu kabisa wewehivi vitu vishalegea saaana! vilishikizwa tu but MO atalipa
kama ingekuwa Boca junior v River plate, leo ni bendera nusu mlingoti.Tusipende kujidharau kiasi hili hizi ishu ziko popote ulimwenguni tena ingekuwa sehemu kama Misri uharibifu na maafa vingehamia mpaka mitaani
vitu vyengine ni useng tu ndo matatizo ya kuamua kwa emotion hata kama chanzo ni refa viti vinahusikaje..?Chanzo ni refa
Tusijifariji kwa kuiga mambo ya kihuni kutoka nchi nyingine tukayaleta kwetu. Ubaya ni ubaya tu. Tuige mazuri kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa waungwana kitendo kile ni cha kulaaniwa kwa nguvu zote.Tusipende kujidharau kiasi hili hizi ishu ziko popote ulimwenguni tena ingekuwa sehemu kama Misri uharibifu na maafa vingehamia mpaka mitaani
Sijasema kuiga na sijasema nasapoti ujinga...uharibifu ni uharibifu tuu lakini isionekane kama sisi ndio wa kwanza kufanya hayaTusijifariji kwa kuiga mambo ya kihuni kutoka nchi nyingine tukayaleta kwetu. Ubaya ni ubaya tu. Tuige mazuri kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa waungwana kitendo kile ni cha kulaaniwa kwa nguvu zote.
Tusipende kujidharau kiasi hili hizi ishu ziko popote ulimwenguni tena ingekuwa sehemu kama Misri uharibifu na maafa vingehamia mpaka mitaani
Sijasema kuiga na sijasema nasapoti ujinga...uharibifu ni uharibifu tuu lakini isionekane kama sisi ndio wa kwanza kufanya haya
Hao wazee wa mbeleko hawawezi kuona mantiki ya ulichoandika......
Mbona wao walivunja viti na kumpiga refa kwenye mechi na Azam....!!?? Au wamesahau...!??