KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,758
- 39,493
Mihemko ni kitu kibaya sana sasa hao walio ng'oa hvyo viti ndo vilikuwa na makosa????
vitu vyengine ni useng tu ndo matatizo ya kuamua kwa emotion hata kama chanzo ni refa viti vinahusikaje..?
bora waekewe yale mangazi ya siment maana hapo itakuwa ni uharibifu tu kila siku
Tunazungumzia haya sasa,hayo yalishatokea na adhabu ikatolewa,mtake msitake kitendo kilichofanywa na washabiki wa simba ni cha aibu kuliko sababu iliyowafanya mfanye hicho kitendo,mmetia aibu sana ,Shame on you wa Matopeni.
Tunazungumzia haya sasa,hayo yalishatokea na adhabu ikatolewa,mtake msitake kitendo kilichofanywa na washabiki wa simba ni cha aibu kuliko sababu iliyowafanya mfanye hicho kitendo,mmetia aibu sana ,Shame on you wa Matopeni.
Kwa hiyo Matendo ya Yanga kwa kuwa ni timu ya kubebwa ni mazuri hata ni yenye kutia kinyaa kwa kumpiga mwamuzi.....!!??
Angalia cha hayo ni nini? Sio huko unakosema EPL au LA liga huwezi kukuta refa ana maamuzi ya kijinga kama ambayo yamefanyika Jana ..Ukiona mtu MTU mzima anahalalisha upuuzi kwa kutoa mifano ya kipuuzi na yeye pia ni mpuuzi... Nyie ndio mnapiga wake zenu mabuti eti kisa jiran nae anampiga mwenzake.... Kwanini msikaripie hilo tukio kwa kutoa mifano kwenye ligi bora za EPL na LA LIGA ambapo matukio ya kihuni ya kung'oa viti ni nadra...
Ifike muda watu tuwe wastaarabu faults za referees haziwezi kuathiri viti vya uwanjani.... Sidhan kama huo uwanja ungekuwa ni Wa simba mashabiki wangefanya hilo tukio...
But football is hooliganism! Sioni ajabu!Kukosa ustaarabu ni kitu kibaya sana